Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

Tumia akili mkuu,mimi nadhani waliohumu wengi wanajitambua.....miaka 3,4,au 5 ni michache sana usimshauri mtu akasoma UD coz ya kiji.....a eti kisa na yy aonekane yupo UD wakati baada ya chuo kuna lyf linamngoja sasa hapo utaona mtu anahangaika miaka na miaka tena kozi yenyewe hawezi hata kujiajiri,next comment tumia busara

Ahsante Mkuu, me nimechaguliwa Ruco bach of environment heath science with information technology alafu best angu ananicheka chuo gani cha kizembe akati yeye kachaguliwa udsm akasoma bach of library and Info's study anajiona mjanja, nimemuonea huruma sana
 
Daaaah,hiyo kali mkuu.....sidhani hata kama alifaulu kwa mipango huyo best yako,inawezekana kafaulu kwa bahati mbaya...
ww mwombe Mungu umalize salama tu then mtakutana mtaani Hapo ndipo atajua nn kinahitajika Taaluma kichwani au Jina la chuo!!!
 
Maisha ni juhudi binafsi, bahati, na channel za michongo, ackudanganye mtu nin kusoma kozi flan au chuo flani kuna watu wanabank daily sales za zaidi ya mil 30 kwa cku na shule ndo tulidhan uwezo wao mdogo achana na hizi mambo zinaitwa life dogo! Tena me nadhan ukijua sana kwenye taifa la wasiojua utakua frustrated tu!
 
Hahahahhhaaa we jamaa umemwamulia course inakua ndani ya faculty bana hahaha harafu huu mjadala hauna majibu kamili maaana hakuna research au literature rewiew ya hili swala la faculty na chuo relation yake

Yeap, Ndani ya faculty kuna programme eg Ba accounting, na ndani ya programme kuna course eg Introduction to Microeconomics
 
kozi ni kozi tu,ila inategemea na mtazamo na level ya kiuchumi ya jamii utakapoenda kuapply hiyo taaluma. ila status ya chuo ni factor kubwa sana hasa hasa katika level ya kimataifa na taasisi nguli. yatakuwa maajabu ya dunia mfano mtu aliyesoma law vyuo mchangani kama st...., sekom, sekuko , teku et el, apewe kipaumbele dhidi ya mtu aliyesoma law hiyohiyo Stanford un, Harvard, oxford etc
 
jiulize swali ungekuwa unaajiri. akaja mtu kutoka imtu, na mwingine kutoka john Hopkins school of medicine sincerely ungemprefer yupi?
 
hata hapa kwetu kwenye taasisi "zinazojielewa" vyuo kama udsm, ardhi, muhas, sua ni preferable katika fani husika lakini katika hii nchi ya wadanganyika ni nani kakushika mkono ni kigezo pia.
 
mkuu pole hvyo vyuo vyenye majina hapa mjini vimekuwa kichefuchefu sana wako very shaloooo mkifanya nao field ni majanga hawajui pakuanzia wala pakumalizia sua nafuu kdogo. hivi utamlinganganisha mtu aliyesoma mwenge catholic univerdity nawa ud. udom mzumbe?mwenge ni nondo wewr
 
Hahahah mwenge wa uhuru
 
Hahahah mwenge wa uhuru

Hahaha... UD itabaki kuwa UD cjui umefanya field na watu wa kozi gani... Af umeisha ona makampuni makubwa yanayo fanya kampasi recruitment kama auditing firm eg. PWC gas and oil kampani yanakuja mwenge University???? Lakini lazima waje UD, mzumbe na Sua..somtym IFM kila mwaka kasome mwenge au tumaini labda ukasome ualimu
 
Back
Top Bottom