Tumia akili mkuu,mimi nadhani waliohumu wengi wanajitambua.....miaka 3,4,au 5 ni michache sana usimshauri mtu akasoma UD coz ya kiji.....a eti kisa na yy aonekane yupo UD wakati baada ya chuo kuna lyf linamngoja sasa hapo utaona mtu anahangaika miaka na miaka tena kozi yenyewe hawezi hata kujiajiri,next comment tumia busara
Ahsante Mkuu, me nimechaguliwa Ruco bach of environment heath science with information technology alafu best angu ananicheka chuo gani cha kizembe akati yeye kachaguliwa udsm akasoma bach of library and Info's study anajiona mjanja, nimemuonea huruma sana