Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Sukuma Gang mna hasira sana mlidhani yule mungu wenu mwovu aliyeko motoni sasa ameimaliza Chadema,nyomi la Jana Arusha limewakera sana mtamaliza matusi yote lakini ndiyo mwisho wenu. Huku Msoga Gang wamewamaliza na huku Chadema inawazika kabisa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Huku anayeosha vyombo tu analipwa dollar 20 kwa saa moja, zidisha masaa nane kwa siku halafu jiulize kwa mwezi anakunja sh ngapi na hapo bado ana benefits kibao kutoka kwa mwajiri wake na serikali ya canada.. sitaki kukwambia nafanya kazi gani hapa canada ila nakunja dola 52 kwa saa sasa jipigie hesabu ... kabla hujaaandika jambo tafuta taarifa zake kwanza.. hiki ulichoandika inadhihirisha wazi kuwa Tanzania ina wajinga wengi sana hata kama elimu wanazo nashauri badilisheni zile rangi za benderaa..
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Mbona ROMA harudii kama wenzie [emoji23] jokes tu
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Mosi ughaibuni mkimbizi wa siasa za udhalimu na uuaji kama za Mwendazake hutunzws kwa heshima
Pili ni bora kufagia vyoo ulaya kuliko yalowakuta Lissu ,Mawazo na Ben Saanane
Kazi za hovyo ughaubuni watu wanafia baharini kuzikimbilia
Unadhani matunzo ya vinyama vifugwavyo ndani ulaya na unavyo okota makopo Bongo ni sawa?
 
Huyo mfagia vyoo wa Canada anatengeneza hata mara 10 ya mshahara wa mfanyakazi wa serikali ya Samia.
Je unajua rate ya maisha ya huko Ughaibuni na kulingana na kile anacholipwa huyo mfagia vyoo wa Canada?

Je unajua kiwango cha kodi anachokatwa kila mwezi kufidia gharama za jamii anazopokea mlipwaji?

Acha ujinga wa kukomenti usichokielewa kwa kina.
 
Ulivyo chizi umekalia ubea, Lema amepata capital ya 3B kuanzisha usafiri wa anga, 3B hata muuzwe ukoo wenu wote hamuwezi kufikia hicho kiasi
Usafiri wa anga kwa 3B ?Ficha ujinga wako labda usafiri wa ungo.3B ni dola milioni 1 na nusu unafungua biashara ya usafiri wa anga????
 
Je unajua rate ya maisha ya huko Ughaibuni na kulingana na kile anacholipwa huyo mfagia vyoo wa Canada?

Je unajua kiwango cha kodi anachokatwa kila mwezi kufidia gharama za jamii anazopokea mlipwaji?

Acha ujinga wa kukomenti usichokielewa kwa kina.
Ujaishi ulaya ndio maana unaongea tu.
We kodi yako unayokatwa imeshatumika kisawasawa mpaka ukasema kweli hii ni kodi yako.
Ukiumwa unaomba msaada wa kutibiwa ghalama zinapozidi.
Wazazi wako wajawai kusaidiwa mpaka weww kufikia hapo.
Serikali ilishawai kukupa makazi bora zaidi ya kujijengea wewe.

Mda mwengine uliza kwanza kuhusu huko.
Kodi inakatwa na kila kinachotendeka unaona kabisa kweli ni kodi.
Ukiumwa hata kama wewe ni maskini unatibiwa kama tajiri na mashine zimekuzunguka za kukuangalia.
Ukienda kukopa unapewa mpaka na makazi.
 
Je unajua rate ya maisha ya huko Ughaibuni na kulingana na kile anacholipwa huyo mfagia vyoo wa Canada?

Je unajua kiwango cha kodi anachokatwa kila mwezi kufidia gharama za jamii anazopokea mlipwaji?

Acha ujinga wa kukomenti usichokielewa kwa kina.
Kwahiyo unajivunia kuwa third world country?
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Nyumbani ni nyumbani tu. Hata kuweje.
Kulikuwa na mwanajeshi aliyekuwa akiitwa Jean Bedel Bokassa wa Central African Republic. Alimpindua Rais Dacko akatwaa madaraka na kuwa Rais mwaka 1966. Mwaka 1976 akabadilisha hadhi ya nchi na kuifanya kuwa Empire. Hivyo yeye akajifanya Emperor. Akamwomba Papa Paulo wa 6 aje kumtawadha katika karamu iliyogharimu zaidi ya $20 milioni za wakati huo. Papa akakataa. Mwaka 1979 akapinduliwa. Dacko akarudi madarakani. Bokassa akakimbilia Ufaransa ambako alikuwa na majumba na alikwenda na hela nyingi sana. Akawa akiishi maisha ya kifahari. Huku nyuma alihukumiwa kufa in absentia.
Kama nilivyosema, nyumbani ni nyumbani tu. Pamoja na kwamba alikuwa na kila kitu na nchini kwake alikuwa amehukumiwa kufa, baada ya miaka michache tu akaanza kupata hamu ya kurudi nchini kwake. Mwaka 1986 akarudi akisema lo lote litakalokuwa na liwe. Akashikwa na kufunguliwa mashitaka. Adhabu ya kifo ikabatilishwa na kuwa kifungo cha maisha. Mwaka 1993 akasamehewa na kuachiwa huru kabisa. Mwaka 1996 akafa kifo cha kawaida na mwaka 2010 akasamehewa posthumously wakati wa kusherehekea miaka 50 ya uhuru.
Huyo alikuwa Rais akiwa na mali nyingi huko ughaibuni. Pamoja na yote hayo, alikumbuka nyumbani na hakujali kwamba alikuwa amehukumiwa kifo. Sembuse mtu ambaye ana mali ya kawaida tu aishi ughaibuni!
 
Mleta mada umekusudia kuzungumzia "dharau" unazofanyiwa na mmoja hao watu lakini umejikuta unadharau kazi halali za watu. Kwani Tanzania hakuna wazivua vyoo, au waosha vyombo migahwani?? Kama ni dharau mbona hata mtu mwenye kazi kubwa anaweza pia kuwa nayo??

Una tatizo moja - unasumbuliwa na mtu mwenye pesa kukuzidi. Unadhani thamani ya mtu ni aina ya kazi. Sijajua ukidharauliwa na muosha choo wa hapa bongo utajisikiaje. Huenda ukampotezea tu!! Ila huyu wa huko ambako anaweza kuwa anakuzidi kipato huku ukiwa na kazi yenye jina zuri lakini mshahara zii - anakuumiza!!
 
Ngoja nipite zangu huyuhuyu boda wangu anamake kuliko mzibua vyoo Canada hiyo comparison hapana
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Hivi wewe unadhani vyoo vya huko ni sawa na vya kwenu! Huku kwetu vyoo vyote ni harufu kali za mkojo na ngama ndiyo sababu vinajengwa mbali na nyumba kubwa, msafisha choo ni mtu muhimu sana kuliko wewe mpiga domo kijiweni, hata hivyo Lema si saizi yako kwani anskoweza kuingia wewe huthubutu hata kuugusa mlango.
 
Haya ni maoni yako na una haki ya kusikilizwa bila kubezwa, maana hata Malawi ujafika, leave alone Canada, kwa hiyo unatakiwa kuchukuliwa tu hivyo hivyo.

Huyo jamaa anatakiwa abezwe ametoa boko
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Mtiti wa jana umekuumiza eeehh weka barafu ipowe....
 
Back
Top Bottom