JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Mshahara wa fundi Bomba pale Ubalozi wa Canada,ni milioni 2.1kwa mwezi,hiyo haikatwi Kodi,Kuna bima ya afya,mikopo,na safari za kwenda ulaya kwa familia,huwezi kulinganisha na upuuzi wa bodaboda,Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao
Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Uhuru unaouzungumzia wa hapa bongo?huwezi kuwa huru kwenye umaskini,polisi wanawasumbua,vibaka wakitsfutwa,bodaboda ndio wa kwanza kutafutwa,
Walio huru ni wale walio na kipato.
Wamarekani weusi wanalia Lia kila leo kwamba wanqbaguliwa,lakini hawapo tayari kuamia Afrika!!ulaya ni ulaya tu.