Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kam zis wei chapchap sana yani.....hahaaaaa na mie nimekimiss chako..............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kam zis wei chapchap sana yani.....hahaaaaa na mie nimekimiss chako..............
Utakua na nyota ya kutaka kuingiliwa kinyume na maumbile wewe.Nimejifunza mambo mengi sana baada ya kunusurika kwenda jela kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mwanafunzi ambaye yupo chuo, japokuwa wanafunzi wengi wa chuo wanajitambua lakini siyo wote.
Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi.Wapo wataoona ni utani lakini ni ukweli ambao umetokea mwanafunzi ni sumu kali bora mke wa mtu.
Wote kwako unagonga bila woga?watu pesa hasara roho mtoa mada me hao wote ndo vyakula vyangu
mwanafunz
hana gharama zaid xna
unapanga nae bata n kumgegeda akilewa
mke wa mtu
huyu kila kitu anapata isipokuwa dudu yenye ufundi wa veta level3 huuuuu
AseeNimejifunza mambo mengi sana baada ya kunusurika kwenda jela kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mwanafunzi ambaye yupo chuo, japokuwa wanafunzi wengi wa chuo wanajitambua lakini siyo wote.
Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi.Wapo wataoona ni utani lakini ni ukweli ambao umetokea mwanafunzi ni sumu kali bora mke wa mtu.
HahahaWewe kiboga kinaitwa
Mwanafuzi ni wa Primary na Secondary tu hakuna mwanafunzi wa chuo ila kuna Mwanachuo!
Ukishikiliwa.bango eti umetembea na mwanachuo basi labda awe chini ya 18,tofauti na hapo ni uonevu ambao hutakiwi kuukubali!
Hata hivyo mwanafunzi ni majanga ukikutwa nae