Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke.
Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto.
Wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano kwa dhamira ya hila na ulaghai na wanafiki sana.
Mwanamke yuko radhi afanye aolewe ili akidhi shida zake yeye tu tu mfano kukosa pesa za kujimudu kula, kulala, mavazi na etc.
Mwanamke ni kiumbe mbinafsi kuliko shetani, ukiwa na mwanamke ambae hakupendi ila yupo na wewe utaisoma namba hawana huruma, atamwaga siri, hawezi kuwa wakili wako, atakupiga majungu, upo uwekeno akawa analiwa hovyo na kipaumbele akaliwa sana na Kila aina ya Ma ex wake. Na awaye yeyote mtu hata majirani zenyu watamtafuna balaa.
Jiepushe kumpa demu wako mazoea ya kuzoea ghetto lako, usifanye kosa la kumpa Dhamana ya Ufunguo wa Ghetto lako, siku ukisafiri anaweza kuleta mwanaume mwingine.
Yumba kiuchumi hasa kifedha, shindwa kukidhi baadhi ya mahitaji yake kwa kujikusudisha hata mwezi mzima utayaona yote ya Musa na ya Filauni.
Chunguza utoaji wake wa tabasamu Unabebwa na vigezo gani ukiimpa pesa na ukikosa pesa utoaji wake wa penzi ukoje?
Kutaa Ndoa Na Kukataa Kuoa ni Ibada ya msingi na imebarikiwa na Mungu na malaika wake wote.
Chama chetu: CWKN
Mdau wenu