Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nadhani wewe huifahamu Projector. Ungeifahamu usingetoa hoja kama hii.Kama unaweza kuibeba projector na kuingia nayo chumbani,kinakushinda nini kuibeba hiyo TV yako wakati TV nyingi za kisasa zinabebeka kirahisi! au kama TV zako ni model za zamani au ni kubwa sana, yaani kuanzia inch 50 na kuendelea...
So full HD ni nzuri. Well, mtu akitaka Ebay anaweza pata baada ya muda gani? But pia suala la quality ya picha linakuaje hapo?Projector native 4k bei zake ndefu sana halafu haiwezi kuwa full HD na 4k hapohapo. Nyingi bei zake ni milioni 3 kupanda.
Kwa budget zetu za kitanzania HD ama Full HD projector ina make sense zaidi.
Angalia tu eneo lako, umbali wa unapotaka kuiwekea hadi ukuta ulipo, mwanga etc.
Nini kingine kinahitajika kuipata projector nzuri kwa ajili ya home theatre. Kuangalizia movie/vipindi vya TvProjector native 4k bei zake ndefu sana halafu haiwezi kuwa full HD na 4k hapohapo. Nyingi bei zake ni milioni 3 kupanda.
Kwa budget zetu za kitanzania HD ama Full HD projector ina make sense zaidi.
Angalia tu eneo lako, umbali wa unapotaka kuiwekea hadi ukuta ulipo, mwanga etc.
Wanaruka ukuta wanakata nondo dirishani wanachukua. Sebule ipo mbali na vyumba vya kulala.Mkuu waliibaje tv zote hizo?
Kwa hiyo unataka aipeleke chumbani wamkute chumbani wamtoe roho. Yeye kuiacha sebleni anakuwa na kusudi lakeKama unaweza kuibeba projector na kuingia nayo chumbani,kinakushinda nini kuibeba hiyo TV yako wakati TV nyingi za kisasa zinabebeka kirahisi! au kama TV zako ni model za zamani au ni kubwa sana, yaani kuanzia inch 50 na kuendelea...
Hivi vitu mkuu vinahitaji uone kwa Macho mwenyewe na mazingira yafanane.So full HD ni nzuri. Well, mtu akitaka Ebay anaweza pata baada ya muda gani? But pia suala la quality ya picha linakuaje hapo?
full HD supportHii hapa mkuuView attachment 1766480
Mmh!?,basi kama ndo hvyo,kwahyo niandae tu 1mil au laki 8+ kupata kilicho borafull HD support
Hilo Neno support inamaana ina uwezo wa kuplay 1080p video ila resolution sio hio
Sijajua kuhusu masoko used hapa TZ yapoje, lakini ukitaka mpya ndio, around 1m ndio unapata nzuri yenye basic features za ukweli.Mmh!?,basi kama ndo hvyo,kwahyo niandae tu 1mil au laki 8+ kupata kilicho bora