"Bora msagaji kuliko mume wangu"

"Bora msagaji kuliko mume wangu"

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2011
Posts
2,414
Reaction score
1,215
Habari wana MMU
Imenisikitisha sana, nilikua nipo sehemu ya watu wengi wake kwa waume, wengi tumejitenga kwa vikundi vikundi, pembeni ya kundi letu kulikua na kundi la wanawake wanne, wanajadili mambo Yao tena kwa sauti kubwa, mara nikasikia, "kwa wanaume waskuiz shost bora msagaji tu......ka mine wangu saiv amenichosha, yani kimoja tu...hata hakinifikish popote,ILA Kuna dada mmoja anasaga huyo yani ad mume wangu simtamani tena..."

Mmh hali ni mbaya kwa kweli wanaume inaonekana tumeshindwa kazi ad wanawake wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe ama?
Au tatizo ni nini?
Karibuni tujadili
 
wengi wanalalama mtaani na mbaya zaidi ni kwamba utakuta wanaolalamika ni wake za watu walishazoea kazi kazi
akija ndani analeta mauzi mara jamaa anapoteza apetite
 
wengi wanalalama mtaani na mbaya zaidi ni kwamba utakuta wanaolalamika ni wake za watu walishazoea kazi kazi
akija ndani analeta mauzi mara jamaa anapoteza apetite
Kumbe wanaume pia tunachangia
et apetite
 
Back
Top Bottom