"Bora msagaji kuliko mume wangu"

"Bora msagaji kuliko mume wangu"

tusipoolewa ooh nna nuksi kelele mingi ndoa tunazitafuta kama sindano kwenye mchanga, tukiolewa ndo hivo tena hatueleweki kama papuchi...
 
Shida ni moja huyo mwanaume kabla ya ndoa alikuaje?
Mwanamke mwingine keshapitia miti mia kidogo,anakuja kukutana na baba wa watu kibamia watawezana kweli?
..lakini kwa upande wa pili hicho kibamia ni size ya mwanamke mwingine..
Mwisho wa siku ndo kuwaza kusagana badala ya kufanya mazoezi ya kubana misuli..
Unaweza ukawa tatizo na uishie kuhukumu wengine.

Genius.
 
Huyo mshenzi tuu wa tabia na Hana malezi, ivi unaanzaje kumkashif mumeo mbele za wenzio, Kama bao moja tuu basi na yeye pia sio mwanamke wa kisawa sawa, ampe nyama tamu ya ulimi, ampoke mume akirudi kazini, a ulize siku ya mwenzie ilikwendaje? Amliwaze, ampumbaze am chombeze, ampikie amuandalie, yy mwenyewe awe msafi anukie Kama Udi au manukato mazuri, hatoki huyo, mwambie arudi unyagoni asilaumu bure kosa lake mwenyewe, ndio mana nyumba ndogo zina pewa kila kitu sababu wanajitumaaa.....


"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."

Naunga mkono sera ya kuoa wanawake watatu.
 
Ni kweli mkuu.wanawake ndio chanzo cha yote.ndani stress kwa kwenda mbele hakuna amani.
 
Yeye hajishughulishi anategemea mtelemuko kwa nani. Chips mayai zinawaponza mno wanawake.
 
I
Tatizo ni wanaume kupungukiwa nguvu za kiume au ni wanawake kuzidiwa na nguvu za kike?!!! Nadhani tatizo liko pande zote mbili. Wanawake wa siku hizi wanaume inabidi kujipanga haswaaa maana ashiki zimewazidi hawa wanawake.

No mkuu hakunaga tatizo la kuongezeka nguvu za Kike si kweli na hakunaga
Ukiniambia kupungua kwa nguvu za kiume saw a but not necesaarirl sababu MTU kuwah kukojoa au kukojoa kimoja na Kuala haimaanishi ana tatizo hilo probably ni uwezo tu Wa kujicontrol au skills on bed nakadhalika pia inachangiwa na uchovu so mwanamke wako LAziMA ajue kuread mind and moods pia ndo maana wapenz mnashauriwa kujifunza more and more vitu kama massage and skills nyingine
To me kama anasagana akasagane but she cyd have talk to his husband tatizo wengi tunajua kulalamika on third part wakat we za hatujakaa tukaongea nao
 
Acha wafanye yao, nijichoshe mabao3 daily na kazi yangu kubeba mizigo unadhani nitawezaje? Na nikishindwa kazini hamna chapaa unadhani atakulaje maisha gharama si atatoka kisingizio siachi hela ya matumizi nataka kutunzwa km jike! Fanya vyovyote kutoka atatoka na lawama palepale! We kausha acha asagwe akichoka ataacha..

To me no matter how hard and tough your job is kumridhisha mkeo/mumeo ni responsibilities zako pia
no excuse on that
 
Back
Top Bottom