ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mkuu uko sawa kabisa. Wazungu husema " AN INTELLIGENT MAN IS ONE WHO HAS FIND SOMETHING MORE INTEREST THAN SEX"
Wazungu wa wapi wanasema hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko sawa kabisa. Wazungu husema " AN INTELLIGENT MAN IS ONE WHO HAS FIND SOMETHING MORE INTEREST THAN SEX"
Shida ni moja huyo mwanaume kabla ya ndoa alikuaje?
Mwanamke mwingine keshapitia miti mia kidogo,anakuja kukutana na baba wa watu kibamia watawezana kweli?
..lakini kwa upande wa pili hicho kibamia ni size ya mwanamke mwingine..
Mwisho wa siku ndo kuwaza kusagana badala ya kufanya mazoezi ya kubana misuli..
Unaweza ukawa tatizo na uishie kuhukumu wengine.
kuna mdada mmoja ivi ni jirani yangu , anavijitabia hivyo, huwa ananiboa kinomaaa anavyo jitamba, mbele yangu
Huyo mshenzi tuu wa tabia na Hana malezi, ivi unaanzaje kumkashif mumeo mbele za wenzio, Kama bao moja tuu basi na yeye pia sio mwanamke wa kisawa sawa, ampe nyama tamu ya ulimi, ampoke mume akirudi kazini, a ulize siku ya mwenzie ilikwendaje? Amliwaze, ampumbaze am chombeze, ampikie amuandalie, yy mwenyewe awe msafi anukie Kama Udi au manukato mazuri, hatoki huyo, mwambie arudi unyagoni asilaumu bure kosa lake mwenyewe, ndio mana nyumba ndogo zina pewa kila kitu sababu wanajitumaaa.....
"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
Sisi wanaume naona ndio tatizo, hawa viumbe ukiwashughulikia kisawasawa (ukiwa na ufundi na stamina) huwa wanatulia... Tujitahidi kuwaeleza tunatarajia nini kutoka kwao.
Yeye hajishughulishi anategemea mtelemuko kwa nani. Chips mayai zinawaponza mno wanawake.
ExactlyTo me no matter how hard and tough your job is kumridhisha mkeo/mumeo ni responsibilities zako pia
no excuse on that
mmmmhhhhh
usodoma na gomola tu wala hakuna lingine watu wazima badala ya kujadili mambo ya maana mnawaza ngono tu basi huyo dada aachike tu kiliko kumtia nuksi mumewe
mavitu ya ajabuajabu ni yapi!,ujue hata kuwepo jf kwa watu wengine nimavitu ya ajabuajabu?mapepo ni mavitu ya ajabuajabu ambayo yakikuingia unajikuta unafanya mambo ya ajabu ajabu....
mavitu ya ajabuajabu ni yapi!,ujue hata kuwepo jf kwa watu wengine nimavitu ya ajabuajabu?
To me no matter how hard and tough your job is kumridhisha mkeo/mumeo ni responsibilities zako pia
no excuse on that
Utamridhisha na kama ni wa kutoka atatoka tuu, unawajua wanawake wa siku hizi unawasikia? Omba mkeo awe mridhikaji tuu, mbona kila mmoja wetu huwa anajitutumua kadri ya uwezo bt baadhi kuchapiwa kunabaki palepale!!
Ila pesa ndio msingi imara wa ndoa..usiombe umegewe kwa sababu huna pesa. Hio inakuwa inauma sana kuliko kuchapiwa kwa nyege zake tu
Huyo Dada anione mm. Yaan mm natapka had 6 lkn wife hazimudu natafuta mweny uwezo wa kuhimili show zangHabari wana MMU
Imenisikitisha sana, nilikua nipo sehemu ya watu wengi wake kwa waume, wengi tumejitenga kwa vikundi vikundi, pembeni ya kundi letu kulikua na kundi la wanawake wanne, wanajadili mambo Yao tena kwa sauti kubwa, mara nikasikia, "kwa wanaume waskuiz shost bora msagaji tu......ka mine wangu saiv amenichosha, yani kimoja tu...hata hakinifikish popote,ILA Kuna dada mmoja anasaga huyo yani ad mume wangu simtamani tena..."
Mmh hali ni mbaya kwa kweli wanaume inaonekana tumeshindwa kazi ad wanawake wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe ama?
Au tatizo ni nini?
Karibuni tujadili