Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.