Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Hakuna ulazima wa kuzaa watoto ni tamaa tu ...Mnavunja ndoa bila ya kuangalia maslahi ya Mtoto.Kumkatili ki aje!?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ulazima wa kuzaa watoto ni tamaa tu ...Mnavunja ndoa bila ya kuangalia maslahi ya Mtoto.Kumkatili ki aje!?.
Oohh!! Kumbe basi ingekuwa mtoto ni kikwazo Cha kuvunja ndoa basi talaka zisingeruhusiwa.Hakuna ulazima wa kuzaa watoto ni tamaa tu ...Mnavunja ndoa bila ya kuangalia maslahi ya Mtoto.
Hakika Fanya kile kinachokupa furaha ukitambia kuwa maishani mafupi sana na tunaishi ili tufurahi sio kustresikaZamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Msizae basiOohh!! Kumbe basi ingekuwa mtoto ni kikwazo Cha kuvunja ndoa basi talaka zisingeruhusiwa.
Lengo la ndoa ni kupata Utulivu , kama Utulivu hakuna na lengo lishapotea. Watoto Huwa ni Baraka tu lakini sio lengo kuu la ndoa.
Huwezi kukosa lengo kuu ukang'ang'ana na lengo la pili.