Bora niendelee kuwa single

Hakuna ulazima wa kuzaa watoto ni tamaa tu ...Mnavunja ndoa bila ya kuangalia maslahi ya Mtoto.
Oohh!! Kumbe basi ingekuwa mtoto ni kikwazo Cha kuvunja ndoa basi talaka zisingeruhusiwa.

Lengo la ndoa ni kupata Utulivu , kama Utulivu hakuna na lengo lishapotea. Watoto Huwa ni Baraka tu lakini sio lengo kuu la ndoa.

Huwezi kukosa lengo kuu ukang'ang'ana na lengo la pili.
 
Hakika Fanya kile kinachokupa furaha ukitambia kuwa maishani mafupi sana na tunaishi ili tufurahi sio kustresika
 
Msizae basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…