Bora niendelee kuwa single

Unakuta unakumbuka ungekula tu wali nyama liwalo na liwe ...๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
๐Ÿ˜‚Nyie watu tuwapeleke Kongo mkajionee kwamba ugali matembele kwenye Amani ni Bora.
 
Na bado utakaa single na itafika mda mwingine utaingia Tena kwenye ndoa ikikusumbua Tena unatoka hayo ndiyo maisha na hapo utakuwa umeyaweza maisha, Kaa single kwa mda akija mtu Sahihi ingia ndoani
Yeah ndo style hiyo mkuu. Mimi sio kataa ndoa๐Ÿ˜…
 
Mkishachokana ,mshamleta kiumbe duniani(Mtoto) halafu mnaachana bora msizae kabisa
Mtoto ana nafasi yake na ndoa Ina nafasi yake, kwani watu wakiachana mtoto anaacha kukua!??
 
Mpaka sasa hamjui maana ya ndoa

Mdoa ni
Siri nyingi mnashea.
Ugomvi mwinginashea
Sahani ya msosi mnashea
Dharau mnashea
Kucheka lazima mshee
Kuchepuka lazima mshee

Mkishindwa tu kushea

Hahaha

Ni doa na si ndoa
Sio kushea tu na kuskilizana, kuelezwa a kuwepo pia.
 
Huwezi kutamani kuwa single kama hujaoonjeshwa shubiri kwenye ndoa. Utakaposalitiwa na kuoneshwa ujeuri wa kila aina na mke ndio utatamani kuwa single. Unakuta mke hana heshima, ni mzinzi balaa, inakuwa kama umeolea kijiji/mtaa, watu wanaonja mpiko
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Marriage is a gamble to men and an investment to women. Know this truth then make decision at your own risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ