Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #21
Haahahhhhayo si maandamano ila andamo ha ha haaaaa haaa
kweli ila mie haku sifanyi hayo nawaachia wenye matatizo yanayohitaji Mange mie naweka matatizo katika box la maoni tuuHaya tusimsumbue da mangr kumwambia kero zetu
Nimekuja juzi mkuuMbona nmekuona Bagamoyo juzi. Mwanza umeenda lini ?
Sawakweli ila mie haku sifanyi hayo nawaachia wenye matatizo yanayohitaji Mange mie naweka matatizo katika box la maoni tuu
Nakua kama Francis yule wa ud alieandamana peke yake hadi ikulu[emoji23]Haahhahaaj unaandamana peke yako na bango
Usipoteze kile unacho kiamini kisa hujapewa sapoti na rafiki zakoHakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma lakin kote kimyaa tumeogopa police ,mi nilipigwa teke moja nikakimbilia na kulala kabisa maana hakuna mtu barabarani ,,wale wanasiasa wanaofungwa fungwa hivi si mgejitokeza na nyie yaan hakuna mtu wa karibu wa kujitoa sadaka akaongoza maandamano,basi tunawashukuru watanzania diaspora kwa kuonesha kutusapoti maana nyie mpo kwenye nchi zenye social service nzuri japo hamkujitokeza kwa wingi sana kama tulivyotegemea lakin mmeweza sisi huku hata kuthubutu hatujaweza na mikwara ya wajeda na police kazi kweli
Lakin kungekuwa hata na vichwa vitano tu vikisimama na kuamsha dude nadhani ingekuwa poa lakin nadhani maandamano pia ni gharama kunatakiwa baadhi ya kikundi kijitoe haswaaa basi tuwe tunakodi hata waarabu jamani wanaume wa Tz waoga
Basi nawaomba wale mnaokujaga huku na mikwara yenu oooh mnaandika upuuzi tu na kujifanya nyie mna akili mtukomeee muende kwenye majukwaa mengine maana hata nyie hatujawaona hata mkiandamana lakin mkija humu jf wakali wakali na kujifanya mnajua kila kitu
Mtuache kina ,mama Sabrina tuendeleze kuchatika,kungonoka na story za mapenzi tena na nyie washauri nasaha mje tu huku maana hamuwezi lolote
Kujifanya kule siasani kupiga kelele tu
Hakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma lakin kote kimyaa tumeogopa police ,mi nilipigwa teke moja nikakimbilia na kulala kabisa maana hakuna mtu barabarani ,,wale wanasiasa wanaofungwa fungwa hivi si mgejitokeza na nyie yaan hakuna mtu wa karibu wa kujitoa sadaka akaongoza maandamano,basi tunawashukuru watanzania diaspora kwa kuonesha kutusapoti maana nyie mpo kwenye nchi zenye social service nzuri japo hamkujitokeza kwa wingi sana kama tulivyotegemea lakin mmeweza sisi huku hata kuthubutu hatujaweza na mikwara ya wajeda na police kazi kweli
Lakin kungekuwa hata na vichwa vitano tu vikisimama na kuamsha dude nadhani ingekuwa poa lakin nadhani maandamano pia ni gharama kunatakiwa baadhi ya kikundi kijitoe haswaaa basi tuwe tunakodi hata waarabu jamani wanaume wa Tz waoga
Basi nawaomba wale mnaokujaga huku na mikwara yenu oooh mnaandika upuuzi tu na kujifanya nyie mna akili mtukomeee muende kwenye majukwaa mengine maana hata nyie hatujawaona hata mkiandamana lakin mkija humu jf wakali wakali na kujifanya mnajua kila kitu
Mtuache kina ,mama Sabrina tuendeleze kuchatika,kungonoka na story za mapenzi tena na nyie washauri nasaha mje tu huku maana hamuwezi lolote
Kujifanya kule siasani kupiga kelele tu
Eheeee hapo sawa alikuwa na bango?Nakua kama Francis yule wa ud alieandamana peke yake hadi ikulu[emoji23]
SinaUandamane una bilioni tatu za kutibia viungo vyako wewe?
AhahahahahKwa make up hii sio sawa kuandamanaView attachment 757579
SawaUsipoteze kile unacho kiamini kisa hujapewa sapoti na rafiki zako
Ila poteza kile unacho kiamini kama hakina faida kwako
Kuna mengi ya kufanya ikiwa ulicho nacho kichwani kwako kina faida
Ukiacha kushabikia ujinga unaweza kujipambanua mwenyewe
G aliandamana kwa Trump hayupo Tz,kwa hiyo we extro jana ulikuwa hujisikii vizurii?Vipi G si unamsifia deile kuwa kidume haswaa na anajua kukukunja kwa 6*6!
Vipi si ungemuomba japo atuondolee aibu kidogo sie ambao hatukuamka vizuri jana, walau hata angekaza kidogo akaingia mtaa.
Eeeh kubwa tuEheeee hapo sawa alikuwa na bango?
Alifanikiwa?nisimulie basiEeeh kubwa tu
Kweli kabisaUmeongea vema mkuu njoo huku tuburudike tz tuiache na viwanda vyake
Eh nilikuwa naumwa mpaka leo siko njemaG aliandamana kwa Trump hayupo Tz,kwa hiyo we extro jana ulikuwa hujisikii vizurii?
Polee Extro siku nyingine napo ukiumwa tutajua unachenga tuEh nilikuwa naumwa mpaka leo siko njema