Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
They don't want to hear that shit again!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Mange kasema vip?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They don't want to hear that shit again!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Mange kasema vip?
Hata wewe waweza kuongoza maandamano dada, jitoleeePole my dia inabidi kuwe na watu wa kuongoza maandamano wajitoe kabisa la sivyo
Polisi wana vifaru? Au hujui hata maana ya kifaru,Mama SabrinaYaan hahaahaa hadi na vifaru
Mi najua vifaru sijui hayo menginePolisi wana vifaru? Au hujui hata maana ya kifaru,Mama Sabrina
Mi sina moyo mgumu sana inabidi kulishwa sumu nyingiHata wewe waweza kuongoza maandamano dada, jitoleee
Vifaru viko jeshini, siyo polisi mama SabrinaMi najua vifaru sijui hayo mengine
Hahaaaa, pole Mummy hawa ndo wanaume wa Tanganyika, wanafiki na waongo kweli kweli, ila wakiwa nyuma ya keyboards ni makomandoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi sina moyo mgumu sana inabidi kulishwa sumu nyingi
Sawa mama la mama SabNimekuja juzi mkuu
Nimecjanganyikiwaaa sina rahaVifaru viko jeshini, siyo polisi mama Sabrina
Yaan acha tu halaf kazi yao kuja kutusimanga sisi huku eti tunawaza ngono muda woteHahaaaa, pole Mummy hawa ndo wanaume wa Tanganyika, wanafiki na waongo kweli kweli, ila wakiwa nyuma ya keyboards ni makomandoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa DrekaSawa mama la mama Sab
Vumilia tu katika hiki kipindi kigumu, wanaume wa Daslama ndo wamekuangusheni, walitakiwa kukusanyika pale posta na kukinukisha kwenda magogoni!!Yaan acha tu halaf kazi yao kuja kutusimanga sisi huku eti tunawaza ngono muda wote
Hahahah hamna af ata hivyo siko bongo ndio maana. Next time nakiwasha tuPolee Extro siku nyingine napo ukiumwa tutajua unachenga tu
Yaan unadhan tungekuwa tuna wanaume ngangali hata sisi wanawake tungeamka lazima,lakin ndio hivyo acha dictator atunyoosheVumilia tu katika hiki kipindi kigumu, wanaume wa Daslama ndo wamekuangusheni, walitakiwa kukusanyika pale posta na kukinukisha kwenda magogoni!!
Sasa hivi makucha ndo yataonekana waziwazi, na jpm tayari kashawasoma watz akili zaoYaan unadhan tungekuwa tuna wanaume ngangali hata sisi wanawake tungeamka lazima,lakin ndio hivyo acha dictator atunyooshe
Mhhh we ni mama kweli??Hakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma lakin kote kimyaa tumeogopa police ,mi nilipigwa teke moja nikakimbilia na kulala kabisa maana hakuna mtu barabarani ,,wale wanasiasa wanaofungwa fungwa hivi si mgejitokeza na nyie yaan hakuna mtu wa karibu wa kujitoa sadaka akaongoza maandamano,basi tunawashukuru watanzania diaspora kwa kuonesha kutusapoti maana nyie mpo kwenye nchi zenye social service nzuri japo hamkujitokeza kwa wingi sana kama tulivyotegemea lakin mmeweza sisi huku hata kuthubutu hatujaweza na mikwara ya wajeda na police kazi kweli
Lakin kungekuwa hata na vichwa vitano tu vikisimama na kuamsha dude nadhani ingekuwa poa lakin nadhani maandamano pia ni gharama kunatakiwa baadhi ya kikundi kijitoe haswaaa basi tuwe tunakodi hata waarabu jamani wanaume wa Tz waoga
Basi nawaomba wale mnaokujaga huku na mikwara yenu oooh mnaandika upuuzi tu na kujifanya nyie mna akili mtukomeee muende kwenye majukwaa mengine maana hata nyie hatujawaona hata mkiandamana lakin mkija humu jf wakali wakali na kujifanya mnajua kila kitu
Mtuache kina ,mama Sabrina tuendeleze kuchatika,kungonoka na story za mapenzi tena na nyie washauri nasaha mje tu huku maana hamuwezi lolote
Kujifanya kule siasani kupiga kelele tu
Tubaki huku tu hatuna wanaume TanzaniaNaunga mkono hoja
ina maana hao watoto mnajizalisha wenyewe?Tubaki huku tu hatuna wanaume Tanzania