Bora nijikite huku nipate raha

Bora nijikite huku nipate raha

Mi sina moyo mgumu sana inabidi kulishwa sumu nyingi
Hahaaaa, pole Mummy hawa ndo wanaume wa Tanganyika, wanafiki na waongo kweli kweli, ila wakiwa nyuma ya keyboards ni makomandoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaa, pole Mummy hawa ndo wanaume wa Tanganyika, wanafiki na waongo kweli kweli, ila wakiwa nyuma ya keyboards ni makomandoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan acha tu halaf kazi yao kuja kutusimanga sisi huku eti tunawaza ngono muda wote
 
Yaan acha tu halaf kazi yao kuja kutusimanga sisi huku eti tunawaza ngono muda wote
Vumilia tu katika hiki kipindi kigumu, wanaume wa Daslama ndo wamekuangusheni, walitakiwa kukusanyika pale posta na kukinukisha kwenda magogoni!!
 
Vumilia tu katika hiki kipindi kigumu, wanaume wa Daslama ndo wamekuangusheni, walitakiwa kukusanyika pale posta na kukinukisha kwenda magogoni!!
Yaan unadhan tungekuwa tuna wanaume ngangali hata sisi wanawake tungeamka lazima,lakin ndio hivyo acha dictator atunyooshe
 
Yaan unadhan tungekuwa tuna wanaume ngangali hata sisi wanawake tungeamka lazima,lakin ndio hivyo acha dictator atunyooshe
Sasa hivi makucha ndo yataonekana waziwazi, na jpm tayari kashawasoma watz akili zao
 
Hakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma lakin kote kimyaa tumeogopa police ,mi nilipigwa teke moja nikakimbilia na kulala kabisa maana hakuna mtu barabarani ,,wale wanasiasa wanaofungwa fungwa hivi si mgejitokeza na nyie yaan hakuna mtu wa karibu wa kujitoa sadaka akaongoza maandamano,basi tunawashukuru watanzania diaspora kwa kuonesha kutusapoti maana nyie mpo kwenye nchi zenye social service nzuri japo hamkujitokeza kwa wingi sana kama tulivyotegemea lakin mmeweza sisi huku hata kuthubutu hatujaweza na mikwara ya wajeda na police kazi kweli
Lakin kungekuwa hata na vichwa vitano tu vikisimama na kuamsha dude nadhani ingekuwa poa lakin nadhani maandamano pia ni gharama kunatakiwa baadhi ya kikundi kijitoe haswaaa basi tuwe tunakodi hata waarabu jamani wanaume wa Tz waoga

Basi nawaomba wale mnaokujaga huku na mikwara yenu oooh mnaandika upuuzi tu na kujifanya nyie mna akili mtukomeee muende kwenye majukwaa mengine maana hata nyie hatujawaona hata mkiandamana lakin mkija humu jf wakali wakali na kujifanya mnajua kila kitu
Mtuache kina ,mama Sabrina tuendeleze kuchatika,kungonoka na story za mapenzi tena na nyie washauri nasaha mje tu huku maana hamuwezi lolote
Kujifanya kule siasani kupiga kelele tu
Mhhh we ni mama kweli??
 
Back
Top Bottom