Bora nijikite huku nipate raha

Kuna kamsemo humu ndani naona kametimia "Maisha bila unafiki hayaendi", nadhani Mange angepanda ndege aje halafu maandamano yaanzie JNIA nadhani yangefanikiwa. Lakini yeye anawatanguliza wenzake halafu mwisho aje kuonekana shujaa nadhani vijana walijiongeza.
 
Labda hao wa huko kwenu dar

ahahahahaa

Kama nakuona vile ,umetoa macho unatazama davet anavopimwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Davet hapimwi sio mwanaume wa dar mkoani moja yule
 
Police walizagaa mitaan huku kwetu tukabaki tunawashangaa ujasili ukatoweka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Davet hapimwi sio mwanaume wa dar mkoani moja yule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mngh!
 
Polisi walisaidia wananchi kuandamana na kuonesha ni kipi kinasababisha yaliyotokea jana.

Usilaumu.
Uliza polisi kwanini tangu juzi wako barabarani?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mngh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] kama nakuona kweli ako mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…