Bora nijikite huku nipate raha

Hehehe inamaana hata baba Sabrina sio mwanaume kumbe!Masikini akakuacha uandamane pekeako mpaka ukapigwa teke la kalioni dah[emoji24] ..Hebu mlipizie kisasi kwakunikabidhi kalio nilichue mama sabrina wangu[emoji8]
 
Yaaan acha tu
 
Inasikitisha

Wanaume wengi waliandamana kutoka chumbani hadi ukumbini
 
Kina Salary Slip, Yericko Nyerere, mtatiro sikuwaona kokote
 
Mama Sabrina heading yako umeiweka vizuri sana kwa sababu ungetaja neno "maandamano" kwenye hiyo heading tusingekuwa na huu uzi sasa hivi![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…