Bora nijikite huku nipate raha

Bora nijikite huku nipate raha

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Hakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma lakin kote kimyaa tumeogopa police ,mi nilipigwa teke moja nikakimbilia na kulala kabisa maana hakuna mtu barabarani ,,wale wanasiasa wanaofungwa fungwa hivi si mgejitokeza na nyie yaan hakuna mtu wa karibu wa kujitoa sadaka akaongoza maandamano,basi tunawashukuru watanzania diaspora kwa kuonesha kutusapoti maana nyie mpo kwenye nchi zenye social service nzuri japo hamkujitokeza kwa wingi sana kama tulivyotegemea lakin mmeweza sisi huku hata kuthubutu hatujaweza na mikwara ya wajeda na police kazi kweli
Lakin kungekuwa hata na vichwa vitano tu vikisimama na kuamsha dude nadhani ingekuwa poa lakin nadhani maandamano pia ni gharama kunatakiwa baadhi ya kikundi kijitoe haswaaa basi tuwe tunakodi hata waarabu jamani wanaume wa Tz waoga

Basi nawaomba wale mnaokujaga huku na mikwara yenu oooh mnaandika upuuzi tu na kujifanya nyie mna akili mtukomeee muende kwenye majukwaa mengine maana hata nyie hatujawaona hata mkiandamana lakin mkija humu jf wakali wakali na kujifanya mnajua kila kitu
Mtuache kina ,mama Sabrina tuendeleze kuchatika,kungonoka na story za mapenzi tena na nyie washauri nasaha mje tu huku maana hamuwezi lolote
Kujifanya kule siasani kupiga kelele tu
 
Mama Sabrina mbona wenzako waliandamana? we ulikuwa wapi ila idadi yao ilikuwa kiduchu kweli ila bahati mbaya kwao na nzuri kwa polisi wapo mikononoi mwa sheria
 
Kwel kabisa maana jna niliyopanga nao kuandamana ndo hao wakanisaliti jmn una haki ya kusema ivo kbs
 
Mi nipo mwanza,,,sasa kwanin hamkuwapa sapoti mkawa wengi zaidii
 
baby alinambie hana machozi yakulia, so ikabidi niende kazini tuu niachane na hayo mambo coz kumliza mtoto wa mwanamke mwenzako si vzuri
Unaona sasa mme wangu nae aliniambia "Mama Sabrina I need you" jamani ndio maana yalishindikana
 
Kwel kabisa maana jna niliyopanga nao kuandamana ndo hao wakanisaliti jmn una haki ya kusema ivo kbs
Pole my dia inabidi kuwe na watu wa kuongoza maandamano wajitoe kabisa la sivyo
 
Unaona sasa mme wangu nae aliniambia "Mama Sabrina I need you" jamani ndio maana yalishindikana
ndo hivyo sasa nadhani twachane nayo tuu maana tayari twahitajika tena sana, hakuna anaependa kuachwa peke yake tena akiwa bado kijana mwili unaitika
 
Back
Top Bottom