Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu

Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu

Unaposema bongo kushanuka unamaanisha kuna mtu anajamba au?? Ngoja akusikie
 
Yana umenichekesha, inaonekana wewe wataka ushauri wa nchi ya kwenda, kana kwamba uwezo wa kwenda nchi yeyote unayo? ti ti ti ti! Jamaa mnapovuta bangi zielekezeni ziwasaidie vitu vya msingi na sio unavuta huku unaangalia tamthiliya.
Hehe mkuu kuisoma namba tunayosomeshwa na mkulu yani, ni zaidi ya kuvuta bhangi...unadata automatically
 
Back
Top Bottom