Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu

Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu

Nenda Marekani ukifika ulizia White House ilopo kisha muulizie jamaa anaitwa Donald atakupa kazi
 
Qatar, ukifanikiwa kuingia hapo ni kama chooni hata kama huna haja lazima ujisaidie. Kuna mpunga wa kufa mtu; jamaa zangu wawili wako huko walikwenda kiutaniutani tuu lakini Matusi yao huku Dar kwenye Familia zao TUNAKOMA.!!!

Mimi mwenyewe nikipata chance nataka kwenda Qatar tuu.
 
Ngoja nitangulie nitakuita msela wangu
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu nina mpango wa kutembea mambele kuchek life la uhakika hili life la bongo sasa limekuwa michosho unaumiza kichwa kishenz kupata hela na hela hupati

Mambo yamekuwa siyo mambo haya masela wangu yaan hadi mvua imekua taarifa ya habari kweli mambo yamegoma hadi mvua inatangazwa falu anathaman zaid ya binadamu anatafutwa ni hatari

Bora tu mimi nisepe lakin nina mpango wa kuelekea USA kama sio ULAYA nilikua napenda sana kutimukia nchi za kiarabu lakin nazo saiv ni majanga tupu niombeni masela wangu nifanikishe nyie ndo huwa nawaaminia sana

Nawategemea sana kwa maushauri yenu unaweza tu hata ukanishaur ni nchi gan niende ambayo life lake liko poa na naweka kutengeneza mkwanja fasta lakin lazima nitimuke mazee
Wazo zuri ila tumia lugha yenye kuwakilisha rika lote. Kuna wengine lugha kama hizi ni vigumu sana kukupa ushauri.
 
Qatar, ukifanikiwa kuingia hapo ni kama chooni hata kama huna haja lazima ujisaidie. Kuna mpunga wa kufa mtu; jamaa zangu wawili wako huko walikwenda kiutaniutani tuu lakini Matusi yao huku Dar kwenye Familia zao TUNAKOMA.!!!

Mimi mwenyewe nikipata chance nataka kwenda Qatar tuu.
Mkuu unaendajeendaje...
Mimi napenda sana kwenda...
Ila issue chanel
 
Wadau nisaidieni bas Mimi napenda kwenda nje ivi...
Issue ni channel..sna ndugu,rafiki wala jamaa huko mbele...ila natamani sana kwenda huko...naendaje wandg..Am seriously mwenye msaada au kma kna Uzi apa upo plain plz naaomba link ili niende mbele
 
Kajaribu maisha popote huwezi toka kimaisha ulipozaliwa ila si tunakomaa hapa hapa fursa kibao tutakuja kutumia huko.Nenda Syria au Libya kakusanye screpa uuze ulaya utatoka fasta.
 
We mtoto nimekua nikifuatilia thread zako na inaonyesha huna heshima kijana, yaani sisi wazee na familia zetu unatuita MASELA!!!!
 
Back
Top Bottom