ladypeace JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 935 Reaction score 506 Jan 31, 2017 #61 chiko mkunungu said: safari itanogakwelikweli.. Click to expand... HAAAAA!!!!!?
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,327 Jan 31, 2017 #62 Planett said: kuraniwa ndio nini mkuu? Click to expand... Kasomea zile shule za yule Bibi aliyekula ban
Planett said: kuraniwa ndio nini mkuu? Click to expand... Kasomea zile shule za yule Bibi aliyekula ban
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,108 Reaction score 4,751 Jan 31, 2017 #63 Magufuli wa usa hataki wahamiaji wasio na mwelekeo
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Jan 31, 2017 #64 Nenda Canada wanapenda wageni
M mliverpool JF-Expert Member Joined Jan 6, 2015 Posts 1,565 Reaction score 2,944 Jan 31, 2017 #65 Unaposema bongo kushanuka unamaanisha kuna mtu anajamba au?? Ngoja akusikie
evansGREATDeal JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 4,013 Reaction score 2,333 Jan 31, 2017 #66 uttoh2002 said: Yana umenichekesha, inaonekana wewe wataka ushauri wa nchi ya kwenda, kana kwamba uwezo wa kwenda nchi yeyote unayo? ti ti ti ti! Jamaa mnapovuta bangi zielekezeni ziwasaidie vitu vya msingi na sio unavuta huku unaangalia tamthiliya. Click to expand... Hehe mkuu kuisoma namba tunayosomeshwa na mkulu yani, ni zaidi ya kuvuta bhangi...unadata automatically
uttoh2002 said: Yana umenichekesha, inaonekana wewe wataka ushauri wa nchi ya kwenda, kana kwamba uwezo wa kwenda nchi yeyote unayo? ti ti ti ti! Jamaa mnapovuta bangi zielekezeni ziwasaidie vitu vya msingi na sio unavuta huku unaangalia tamthiliya. Click to expand... Hehe mkuu kuisoma namba tunayosomeshwa na mkulu yani, ni zaidi ya kuvuta bhangi...unadata automatically