Kwani kwenye kikao cha Wanaume kilichopita ilikuwa agenda namba ngapi?
Itabidi hili jambo lizungumzwe upya.
Naona wengine wanazidiwa na ujanja.
1. Ku-fake Upendo kama Delila
2. Ushamba au Kushobokea mapenzi
3. Kulogwa au limbwata, n.k.
Kikao kijacho,
Ukipata Taarifa au Kujua kuna mtu anasomesha mpenzi wake,itabidi tukaongee na chuo kinachopokea hiyo Ada iingizwe kwenye miradi ya Chama Cha Wanaume Tz