Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

Kwani kwenye kikao cha Wanaume kilichopita ilikuwa agenda namba ngapi?
Itabidi hili jambo lizungumzwe upya.
Naona wengine wanazidiwa na ujanja.
1. Ku-fake Upendo kama Delila
2. Ushamba au Kushobokea mapenzi
3. Kulogwa au limbwata, n.k.

Kikao kijacho,
Ukipata Taarifa au Kujua kuna mtu anasomesha mpenzi wake,itabidi tukaongee na chuo kinachopokea hiyo Ada iingizwe kwenye miradi ya Chama Cha Wanaume Tz
 
Kama una hela somesha ( saidia pasipo tegemea marejesho) . Dunia duara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…