Bora nimeoa sasa!

Bora nimeoa sasa!

Maisha ya ndoa jamani yana raha, japo bado sipo huko.Cha muhimu ni kupata yule ambaye Mungu amekuandalia. Utafurahia ndoa yako kama paradiso/mbingu.

Pretty Bravo, Mume/Mke bora utoka kwa Mungu, huku nawe mhusika ukifanya jitihadi kidogo,ni vigumu kumpata mke aliye tulia wakati mwenyewe ujatulia,haiwezekani ukawa mtu wa madisko kisha ukaoa mtu mwenye kushika dini,mimi mwenyewe sijaowa ila maisha ya bila kuoa ni mazuri kwa sababu ndo muda mzuri wa kufahamu tabia za wanawake tofauti,ebu angalia mwendesha baiskeli anayeendesha kupitia njia moja tu kila siku akienda kazini na umfananishe na yule mwenye kubadilisha njia kila aendapo,hakika yule abadilishie njia ndo atakua mtaalam na baiskeli kuliko mwingine,mimi mke nayemtaka kwa sasa najua sitampata kwa sababu vigezo anavyotumia huyo mhusika sinavyo, hivyo sasa hivi wacha nile kwanza lecture ya wanawake na maisha,na kingine muda huu ambao tujaoa tunao si siri ukitaka kupanga mambo yako yanaenda kama unavyotaka labda Mwenyezi Mungu aamue yasitimie,unaweza panga leo najibana nitumie kiasi kidogo cha pesa kinachobaki nitafanyia masuala ya maendeleo, lakini kwenye ndoa kuna majukumu ya lazima huwezi sema ubane pesa wakati kuna tatizo limemtokea mwenzio, nahitimisha kwa kusema single life ni nzuri lakini kuishi na mwanamke kinyumba ni kinyume na maagizo ya Mungu
 
Ingawa napenda committed relationships na nina ndoa for more than 10 years, nadhani ndoa is too much a burden. I love my kids and my wife and my family as whole.

Lakini looking back and given choice today, I will choose to be single ... yes single. Unfortunately nimeshaoa na nina watoto. Nalazimika kumridhisha mke wangu na ..... may be I'm a negotiator ... pleaser and I feel I'm giving to much for too little!

Perfection katika relation ni aim, but it is elusive.

...enhee!

bora umesema wewe shingo! ...mfano; inafikia wakati hata 'machungu' yangu yaweke pembeni kwanza, ili kumliwaza 'madeko' yake,...huh...!

maisha ndani ya "spin- dryer!"
 
Ingawa napenda committed relationships na nina ndoa for more than 10 years, nadhani ndoa is too much a burden. I love my kids and my wife and my family as whole.
Shingo kaka, mimi naamini kila ndoa ina life span, wenzetu wa ngozi nyeupe wakifika kwenye 'expiry date' yao wanaambizana na kila mtu anaangalia utaratibu mwingine, sisi wabantu tukifikia 'best before dates' zetu tunaendelea kuishi tu hivyo hivyo kwa kuwa ni taboo kuachana kwa sababu tu ya penzi kuchuja , na eti watoto watateseka! lakini wote tunajua hiki kitu kipo, hatutaki tu kukubali. Matokeo yake ni kuanza kucheat, kulala kwenye mabaa na visa visivyoisha.
 
Baada ya kusoma posts zote bado sijashawishika kwa nini nioe, alafu kwa mlioko kwenye ndoa kuna walioingia na mentality ya kuwa kuna "expiry date"? na by the way wengi wenu mmefunga ndoa mkiwa na umri gani?
 
Icadon, 'expiry date ya ndoa' inatengenezwa na wanandoa wenyewe, kama ukiingia mkenge ukajitusu sehemu ambayo degree ya incopartibility ni kubwa mno basi ujue life span ya ndoa yako itakuwa fupi. All in all nafikiri ni muhimu kula maisha kwanza kabla hujaoa, usipofanya mambo flani kabla ya ndoa unaweza jikuta unayafanya ukiwa ndani ya ndoa.
 
Sasa Kana Na Nsungu.. wewe umeanzisha mada nzuri kabisa ya kuongoa vijana waache kupiga mikasi na kupoteza pesa zao kama wewe ulivo fanya, sasa mbona unaharibu tena kuwaambia watafune kwanza maisha kabla ya kuoa? unataka wafanye kama ulivyo fanya na ukaja jutia baada ya kuoa?
 
Sidhani kama kila mtu anajutia hiyo stage kama mimi coz I think I went a bit over the top, simshauri yeyote ajirushe kwa kiwango changu! Ninachosema in short hapa ni kwamba- ni muhimu not to rush into marriage na ni muhimu pia ku experiment things, kuna mambo flani mkulu mwenzangu ukiyajulia ukubwani inakuwa tabu tupu, tena ukiwa ndoani ndo balaa kabisa!
 
I am a little bit concerned na vijana wenzangu walioa miaka ya karibuni,wengi wao naona wanapata shida sana kusettle, wengi naona bado wanatamani maisha ya kuwa single,wanacheat bila aibu, baadhi ya watu wameacha kutoa michango ya harusi kwani ndoa nyingi zinaonekana haziendi popote,personally naamini marriage is not about winning but a way to cut your losses, I lowered my expectations ,fiercely defended my freedoms and it is working for me
 
Back
Top Bottom