Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.
Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.
Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa nyumbani tu, ataweza kunitunzia heshima na kunisikiliza.