gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Hovyo tuLakini ndio hivyo tena, wanashawishika huko waendako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyo tuLakini ndio hivyo tena, wanashawishika huko waendako
Madhara yake, unapokuja kugundua muhuni amepitaVijana hawachagui we oa pisi hata ukiwa unagegeda unasema ewwaa! Nimelala na mwanamke
Hata uoe asiye na mvuto watampiga tuMadhara yake, unapokuja kugundua muhuni amepita
Yeye amebaki mjini, hataki kurudi kijijiniHuyo uliyenaye wamtupia nani mkuu?
Hata ukioa mlemavu, hatumuachiUnaoa asiyekuwa na mvuto sana
Njoo tulime matikiti huku bushiBasi ishia hapo hapo
Nini kifanyike ili wasimpige?Hata uoe asiye na mvuto watampiga tu
Ukiwa na mke mfanyakazi,ile ladha ya mke hutoweka,yaani jitu jeuri,kiburi,haliko loyal,ndoa huwa ni aina fulani ya vicoba,yaani ni umoja wa kufuga watu(watoto)Huyo uliyenaye wamtupia nani mkuu?
Inabidi kutafuta ile dawa ya kung'ang'anianaHata ukioa mlemavu, hatumuachi
poliygon si ana kipochi manyoya? Bibilia imesema aziniye na mwanamke hana akili, afanya kitu cha kujiharibia mwenyewe, na ndio kimetokea: Kwa sababu tu ya K;Jamaa ana familia nzuri sana, ndio hivyo tena, dunia na majaribu yake.
Suluhisho la kutokugongewa ni kuoa polygon tu
Nini kifanyike ili wasimpige?
Aamue mwenyewe kutogawa mwanamke hachungwiNini kifanyike ili wasimpige?
Alitakiwa akaishi uhamishoni, kwa mazingira aliyopo ana asilimia chache sana za kubaki hai.poliygon si ana kipochi manyoya? Bibilia imesema aziniye na mwanamke hana akili, afanya kitu cha kujiharibia mwenyewe, na ndio kimetokea: Kwa sababu tu ya K;
1. Amepoteza kazi
2. Amepoteza uaminifu katika taifa lake
3.Amepoteza uaminifu kwa mke wake na watoto, yaani kwa watoto status inahama toka baba mzuri, mpaka baba mbaya, hata mwanae akianza tabia chafu hana ujasiri wa kumkemea.
4. Amepoteza undugu, hawezi kuelewana na kaka yake tena so sad et kwa sababu uonekane kidume? useless.
5. Kwa sababu ya vipochi manyoya ameyaweka maisha yake hatarini hata akitoka kisheria vigogo watakula naye sahani moja nje ya system
6. Wanawake aliolala nao wamepata aibu wenye mioyo myepesi wameanza kujitoa roho wenyewe, wenye roho ngumu watafanya revenge, Maana yamkini kila mwanamke alijua yuko peke yake, sasa kuja kushtuka wako 400 mwanaume ataonekana ni mshenzi na alikuwa kwenye misheni maalumu.
Afghanistan naona wanaweka sheria ngumu za kuwabanaAamue mwenyewe kutogawa mwanamke hachungwi
Wako sahihi lakini zimepitiliza sanaAfghanistan naona wanaweka sheria ngumu za kuwabana
Nitakomaa mikonoNjoo tulime matikiti huku bushi
Ndio itakuwa vizuri ili kina baltazar wasikutamaniNitakomaa mikono
nani wa kumpeleka huko uhamishoni sasa, Kala wake wa vigogo mpaka dada wa raisi, uhamishoni kwake ni pembe nne tu, amefanya jambo la kijinga sana hakufikiri akajua itaendelea kuwa siriAlitakiwa akaishi uhamishoni, kwa mazingira aliyopo ana asilimia chache sana za kubaki hai.
Lakini amekuwa shujaa wa afrika.... P didy wa afrikapoliygon si ana kipochi manyoya? Bibilia imesema aziniye na mwanamke hana akili, afanya kitu cha kujiharibia mwenyewe, na ndio kimetokea: Kwa sababu tu ya K;
1. Amepoteza kazi
2. Amepoteza uaminifu katika taifa lake
3.Amepoteza uaminifu kwa mke wake na watoto, yaani kwa watoto status inahama toka baba mzuri, mpaka baba mbaya, hata mwanae akianza tabia chafu hana ujasiri wa kumkemea.
4. Amepoteza undugu, hawezi kuelewana na kaka yake tena so sad et kwa sababu uonekane kidume? useless.
5. Kwa sababu ya vipochi manyoya ameyaweka maisha yake hatarini hata akitoka kisheria vigogo watakula naye sahani moja nje ya system
6. Wanawake aliolala nao wamepata aibu wenye mioyo myepesi wameanza kujitoa roho wenyewe, wenye roho ngumu watafanya revenge, Maana yamkini kila mwanamke alijua yuko peke yake, sasa kuja kushtuka wako 400 mwanaume ataonekana ni mshenzi na alikuwa kwenye misheni maalumu.
ushujaa usio na nishani? shujaa saizi yuko nyuma ya nondo anajutia, usikute ameshahasiwa, mpaka sasa hivi hata ndugu watapata kigugumizi cha kwenda kumuangalia, pengine hata dhamana wataona haifai kumtolea akae huko kwanza hasira zao zipungue, ni jambo la kijinga kafanya, angekuwa kama king mswat angekuwa shujaaLakini amekuwa shujaa wa afrika.... P didy wa afrika
Hahahaha 😂 mxiuuuuNdio itakuwa vizuri ili kina baltazar wasikutamani