Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.

Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.

Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa nyumbani tu, ataweza kunitunzia heshima na kunisikiliza.

 
Wa nyumbani utagongewa na Waha wakopesha vyombo na wapaka rangi NB; yanga imetudharirisha leo
 
Jamaa ameiharibu familia yake, kwa upumbavu wake, nikirudi kwenye mada:

Mama wa nyumbani ataliwa na wapaka rangi, na waha wale wa kukopesha majumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…