comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Kwahiyo wewe unaliwa na wauza maziwa na mafundi ujenziWa nyumbani tunaliwa na mafund wa ku repair things endapo ziki break hapo nyumbani,na wale wa bill za maziwa nk....hayana mwenyewe mkuu
hujakosea, na mpaka rangi kucha na boda anaeleta mizigo kila jion akiagza mrKwahiyo wewe unaliwa na wauza maziwa na mafundi ujenzi
They are stupid, muda wote wapo insta au tamthiliaDunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.
Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.
Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa nyumbani tu, ataweza kunitunzia heshima na kunisikiliza.
View attachment 3146509
Wanavizia wenye salioThey are stupid, muda wote wapo insta au tamthilia
Ki vipi, ebu fafanua zaidiWa nyumbani ndiyo wanaliwa zaidi, sema hujui tu.
Jikaze tu mkuuMimi kwakwel sielewi nitaangukia wapi, kwanza kwa niliyoyaona vyuoni๐๐๐๐ mama mama mama, ndio wanakuja kuwa wives.