Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

Wanawake wanaofanya kazi wana ndoto kubwa sana ,wanahitaji usafiri binafsi ,wanahitaji lunch za KFC daily sasa kina BALTAZARY wapo huko kwa kuwatimizia hayo mahitaji.
Na majukumu ya kumlea mmewe nyumbani anaachiwa mfanyakazi wa nyumbani; kwa namna nyingine, mmewe anakuwa ameoa beki tatu bila kujielewa.​
 
Hakuna muongozo mkuu, vyovyote vile unagongewa tu. Ni kuomba kupata mke submissive asiye na tamaa za pesa na anayeridhika kwa unachompa.
 
nani wa kumpeleka huko uhamishoni sasa, Kala wake wa vigogo mpaka dada wa raisi, uhamishoni kwake ni pembe nne tu, amefanya jambo la kijinga sana hakufikiri akajua itaendelea kuwa siri
Wewe unadhani watalfanya kitu. Jamaa amtokeq familia ya kitajiri na yeye ni tajiri. Watamalizana tu kishkaji.
 
Kwa mwenye akili wakati huu wa haki sawa darasa la saba ndiyo mpango mzima.

Akisoma sanaaa basi four or six zaidi ya hapo baba jiandae kulipia matibabu ya mgongo ya mkeo muajiriwa maana anavyokunjwa kwenye meza na viti vya office na boss na stuff wenzake akitoboa 45 yrz spinal cord haijaanza kumsumbua niite umbwa.
Na wa kwako aishie la saba ili akawe mke bora. Sio wa kwako unapeleka shule na apate ajira halafu wenzako wasipeleke shule.
Halafu mkiwa mtaani huko mnasifia binti zetu wamesoma na wana kazi nzuri.
Kuchepuka ni changuo, haijalishi ni wa la saba, au ana kazi nzuri. Akiamua kaamua.
Wewe unadhani wa mama wa nyumbani hawachepuki?
Fanya utafiti uone, utagongewa tu hata kama unamuacha nyumbani, ni kwa sababu kaamua.
 
Wakina fundi Maiko ndio mademu zao mama wa nyumbani Tena wanawapikia kabisa mkuu! Mungu atuepushe na Janga hili,wa nyumbani anakapikia kajamaa kapete nguvu za kuacha,Tena anampa na matunda pamoja na mazagazaga, watoto wengi wanakuwa wetu majina tuu, biological ni watoto wa fundi Maiko!
Mwambie huyo.
 
kuoa ni kuyatafutia makazi ya kudumu, magonjwa nyemelezi kama PRESSURE, KISUKARI, MSONGO WA MAWAZO, VIDONDA VYA TUMBO, MBA, MAJIPU, TETEKUWANGA n.k katika mwili wako.
 
😂😂Tena tabibu utakua wewe mwenyewe mxiuuuu hebu kwenda huko
Niende wapi tena? 😭

20241108_122402.jpg
 
Back
Top Bottom