Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

We jamaa!unadhani huyo jamaa was video 400 ni wa kawaida!!?

Ana nguvu za Giza ndani yake kama za mfalme Suleiman zile alizotumia kuwaridhisha wake zake wengi!

Anaweza akawa member was secret society na anafukuzana na Muda ndio maana kazaa watoto weeengi sana ndivyo walivyo hai jamaa!!

Kuoa ni kuomba Mungu tu coz Mwanamke akishafika anapotaka hufanya juhudi za kujiondoa kwenye utawala au uongozi wa mwanamme!!

Sasa kufika safari yake kunaweza kukachelewa au kuwahi kutokana na nature ya Mwanamke mwenyewe na status yake!!

Kama dume la nyuki linavyokufa baada ya kupanda jike ndivyo ilivyo madume yote huoa Ili yafe mikononi mwa hayo majike!
 
1731042791269.png
Batazali chiboko!
NB: ... binti alijiona kaokota dodo chini ya mbuyu, kumbe kauvagaa mtambo wa kukoboa na kusaga!
😅
 
Ukifikiria sana, unaweza kudhani si akili ya kawaida
Ni kweli sio akili ya kawaida,huwa inakuwa driven na aina flani ya spirit wa uzinzi,huyu akisha kuingia kila sketi inayokatisha mbele yako unataka uionje,sasa huyu kilichokuwa kinamfanya afanikiwe kila anakopita ni pesa,jaribu kufuatilia hao aliokuwa anatembea nao,lazima utagundua kwa wale ambao walikuwa na ugumu kidogo ametumia hela nyingi sana kuwapata ili lengo lake tu la kulala nao litimie,na si kama alikuwa anawapenda,hiyo ni roho kamili ya uzinifu...
 
Wakina fundi Maiko ndio mademu zao mama wa nyumbani Tena wanawapikia kabisa mkuu! Mungu atuepushe na Janga hili,wa nyumbani anakapikia kajamaa kapete nguvu za kuacha,Tena anampa na matunda pamoja na mazagazaga, watoto wengi wanakuwa wetu majina tuu, biological ni watoto wa fundi Maiko!
Hakika umenena vyema
 
Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.

Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.

Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa nyumbani tu, ataweza kunitunzia heshima na kunisikiliza.

View attachment 3146509

Ataliwa na:

1. Boda boda.
2. Mzee wa Kanisa.
3. Muuza genge.

Hawana dawa; ni kuwapuuza tu! Kazi imeisha!
 
Back
Top Bottom