Shapu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2008
- 2,120
- 817
Una bf wa mda mrefu almost 4 yrs, unamwambia darling sijaona siku zangu nahisi hii itakuwa mimba anakujibu MTUMEEEEEE BORA NIPATE UKIMWI KULIKO KUNIAMBIA HAYO MIMI!
fidel uko wapi najua utakuwa wa kwanza jamani karibuni
Mwambia rafiki yako au kama ndo wewe kwamba mimi nitajitolea kulea na kutunza hako kachanga kama tutaandikishana kwamba mtoto atakuwa wangu as baba and wake as mama lakini mimi na mama yake no relation. Nina imani kuwa any kid has a right to live and loved. Just pm for more.
Sijui wewe nawe umetokea wapi!Inaonekana wote hawajatulia..... Hajachelewa... Tell her to Flash it!!!