Bora nipate ukimwi kuliko kuniambia una mimba yangu

Una bf wa mda mrefu almost 4 yrs, unamwambia darling sijaona siku zangu nahisi hii itakuwa mimba anakujibu MTUMEEEEEE BORA NIPATE UKIMWI KULIKO KUNIAMBIA HAYO MIMI!
fidel uko wapi najua utakuwa wa kwanza jamani karibuni

Mwambia rafiki yako au kama ndo wewe kwamba mimi nitajitolea kulea na kutunza hako kachanga kama tutaandikishana kwamba mtoto atakuwa wangu as baba and wake as mama lakini mimi na mama yake no relation. Nina imani kuwa any kid has a right to live and loved. Just pm for more.

Inaonekana wote hawajatulia..... Hajachelewa... Tell her to Flash it!!!
Sijui wewe nawe umetokea wapi!
 
Kibweka sio karaha hii kwa mwenye tatizo ana proud sana kuwa pregnant watu wanazitafuta jamani nyie hamjaishi katika jamii zinazotafuta watoto! uganda wameenza kuiba sshivi kwa kasi ya ajabu!

Sasa nishaanza kukusoma vizuri ! inamaana yeye ndo aliinasisha makusudi bila kumueleza Mjamaa! Mjamaa labda Mipangilio yake haiendani na ujauzito asioutarajia! Basi hata huyu mdada kasababisha kuleta maproblem kwa mshikaji! Mie nitamlaumu Jamaa kwa kupenda kupata Ngoma kuliko kutikisa Nyavu kimiani!
 
Una bf wa mda mrefu almost 4 yrs, unamwambia darling sijaona siku zangu nahisi hii itakuwa mimba anakujibu MTUMEEEEEE BORA NIPATE UKIMWI KULIKO KUNIAMBIA HAYO MIMI!
fidel uko wapi najua utakuwa wa kwanza jamani karibuni

Kwanini wanawake hampendi kutumia condom? Jamaa hujamfahamu vizuri unamruhusu agonge ikulu kienyeji?
 
ooh sorry unazini au uko kwenye ndoa?
 
Natamani ningekujua wakati uko tumboni nikamshauri mama kuwa mflash huyo hasije kutupotosha kanisani kwetu

Naima mammy, Wote wanaofanya hivyo wanasema? Hivi hujawahi kuona mama anamchukia mtoto wake wa kumzaa kiasi kwamba kila akimuona anamdunda... Mara anamtukana, Mara anamnyima chakula!! kisa, alikataliwa na baba tangu tumboni. That answer above impact yake ni kubwa sana... sidhani kama huyo jamaa aliongea kwa utani, ukizingatia Ukimwi ulivyo. Na huyo dada, hata kama atamzaa huyo mtoto, anaweza kumwambia kuwa baba yako alikufa kwenye accident.

"God gave men two heads and just enough blood to run one at a time"
 
Kwa umri wa huyo dada na huyo bwana, na kwa kuchukulia uchumba umekuwa sugu...miaka minne, nashawishika kuamini kuwa huenda dada 'alimlengesha' mshkaji! Unajua jamani siku hizi kuna baadhi ya kina dada wanaona 'umri unaenda' na wanajidanganya kuwa njia ya kumfix mwanaume ni kubeba ujauzito wake hata bila ridhaa yake....ijapokuwa kuna tahadhari zilishatolewa kabla, huenda zilikuwa zinatolewa kama alibi tu huku mpango wenyewe ukiwa unasukwa rasmi.

Hayo ni mawazo yangu, ijapokuwa sikatai kuwa inawezekana mimba iliingia tu bila mmojawapo kujua...nampa benefit of doubt!
 
Noted!! seems like some dudes where reading my signature eeh!

Well, Mhashamu askofu - BWANA ASIFIWE SANA TU..... Hilo la kum-deny mtoto kumjua baba yake kwa sababu aliikataa mimba ni ukichaa, sawa na kumpiga au kumtukana.
 
It is more of psychological effect... anaona huyo mtoto hana thamani. It's sad lakini ndio hali halisi huku mitaani
 
...uwongo mbaya,

'mrembo' akikwambia 'anahisi' ana mimba yako INATISHA!
angalau basi awe analipa kidogo, au huna commitments kwingine.
Unaweza tamani ardhi 'ichanue' upotelee ndani!
 
Yanazungumzika kama mahusiano yao ni rasmi(formal relationship). Naona yawezekana taafa ya hali hii ilifikishwa kwa muhusika katika muda ambao si muhafaka (pengine jamaa hakuwa kwenye mudi) ya kupokea habari hii ambayo kwa wanaume lijali ni habari njema...........haitaki jazba kueleza hali halisi, tulia na mwenzio mpe mtiririko wa matukio na jinsi mlivyo "injoi" kwa pamoja jambo lililopelekea hali hiyo na kama mhusika ni mtu mzima, sidhani kama atakataa ukweli unless kama taarifa ya "kutoona siku" imefikishwa kwake katika kipindi cha mpito (ambacho mahusiano hayakuwa sawa kwa muda) au katika kipindi ambacho uaminifu ulipotea miongoni mwa wao.

Hali hii inatokea hata kwa wenye familia zao, mama akikuletea taarifa tata, huo ni mshtuko atarejea katika hali yake binti asipikuwa na jazba ya kuwasilisha jambo hili lenye baraka kama lingekuwa ndani ya ndoa!.....Aelezwe huo ugonjwa anaoutaja bora angekuwa nao ni hatari kuupata asijaribu kurudia kauli hiyo, gharama ya kuuguza ni zaidi ya kulea mimba au kutumia kondomu! kwa kila tendo!.
 
ka Obama hivi? eh? just kidding!
 
...uwongo mbaya,

'mrembo' akikwambia 'anahisi' ana mimba yako INATISHA!
angalau basi awe analipa kidogo, au huna commitments kwingine.
Unaweza tamani ardhi 'ichanue' upotelee ndani!

MBu.... nyie wanaume kwani mnafkiria mkikataa kutumia kinga ni raha tu mnapata.... hata watoto hutoka papo hapo..the stupid guy should take responsibility for his actions.....hivi huko bongo hamna Fida ya ku ensure wnaume kama hawa wanawalea watoto wao???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…