Bora nipate ukimwi kuliko kuniambia una mimba yangu

Jamani muache kupanda ovyo, ukimpa mimba mtu jukumu la kulea ni lako. Jihadharini
 
huyo mwanga hamjali huyo dada wala kujijali mwenyewe...mwambie ashike zake hamsini.... kama bado hajaletewa ukimwi, basi amenusurika...kwani mtoto ugonjwa???
 

Kila mtoto na riziki yake eh?
 
jamani muache kupanda ovyo, ukimpa mimba mtu jukumu la kulea ni lako. Jihadharini

akina nyie uzao wa adamu mnavyojua kuruka
mnakwepa majukumu ..wakati wa perfomance mnaona raha matokeo yanapotokea karaha
 
akina nyie uzao wa adamu mnavyojua kuruka
mnakwepa majukumu ..wakati wa perfomance mnaona raha matokeo yanapotokea karaha


LOL Hapo FL1 naomba isomeke "tunaona raha" ili kuondoa dhana kwamba anayeona raha ni mmoja tu (mwanaume). raha waijua lakini?🙄
 
LOL Hapo FL1 naomba isomeke "tunaona raha" ili kuondoa dhana kwamba anayeona raha ni mmoja tu (mwanaume). raha waijua lakini?🙄

sawa kaizer tunaona raha matokeo yanapotokea nyie mnakimbia majukumu
 
sasa kwanini mnafanyaga matuc bila kinga jamani na mnajua hampo tayari kwa matunda?.....huyu mkaka atakuwa ana wake wa moyoni wewe ulikuwa wa mdomoni tu.


Nyamayao, huwa unanifurahisha sana. ni mara chache sana huwa nasoma thread zako bila kucheka.
tatizo wadada wengi wa siku hizi wanadhani mimba ndo mtego wa ndoa. Tuwaombee wadogo zetu jamani
 
Mimi naona ni muhimu kuisoma dhati ya jamaa juu yako kwanza kama umeamua kupata mimba.Miaka minne ni muda wa kutosha kabisa kujua mienendo ya jamaa kama ana nia ya kuwa nawe kweli au anataka kampani tu.Hata akiwa anaficha vipi ukiwa mjanja utamjua tu kama yuko tayari kulea mtoto au hata kukuoa.
Kinadada tuanze kuwasoma vizuri wanaume kabla ya kuji commit na kuhusu kutumia kinga(condom)basi tuwe na ujasiri wa kusema HAPANA kama hataki manake majuto ni mjukuu.Mtu anakudanganya,anakuharibia future yako halafu anatokomea zake huko
 

Miaka minne bado ni midogo sana......ila kutumia condom ni muhimu sana, sema wadada zetu hamzipendi eti hamsikii utamu man ikizivaa!
 
Miaka minne bado ni midogo sana......ila kutumia condom ni muhimu sana, sema wadada zetu hamzipendi eti hamsikii utamu man ikizivaa!

We Masanilo acha masihara!Miaka minne si midogo bana.Inatosha kabisa kumjua mtu.Mimi naona ukidumu na mtu kwa mwaka mmoja na mkawa mnakutana walau mara 2 kwa wiki unaweza ukaijua dhamira yake.
Nyinyi ndiyo hampendi condom.Kama mchangiaji mmoja alivyosema huwa mna visingizio kibao.Eti mtu unamwamini kabisa akisema atamwagia nje,hahahahah mnachekesha nyie!Mimi kama nimekushtukia na longolongo zako basi nakupa live tu-no condom no sex!
 
sasa kwanini mnafanyaga matuc bila kinga jamani na mnajua hampo tayari kwa matunda?.....huyu mkaka atakuwa ana wake wa moyoni wewe ulikuwa wa mdomoni tu.

LOL! Kwani kufanya hivyo ni kufanya matusi! Ha ha ha ha ha umenichekesha sana NY umenikumbusha msamiati wa mwaka 47
 
Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa
Sasa anaogopa kitu gani huyu mwanaume?
Mijitu mingine MIFISI kweli
Mpe pole bestie wako
Mwambie kuna watu wako radhi kulea ujauzito yeye tu awe free! Serious
 
no condom no sex!

Hahahahah hapo nimekusoma! Nimeishakufahamu na kukubalina nawe 100% Kuna demu zamani aliisha niambia yaani Masa siku zote hizo unanivalia condom unaniona mimi malaya eeehhhh......hapo kumbuka demu aliishakuwa wet ile sehemu na mimi mihemu iko juu....! Unajua nilimwambia nini? Nina wasi wasi na afya yangu na hawezi pima kwa macho....demu akasisitiza haina shida nzi kufia kwenye kidonda.....nilishauri meichi ihaihirishwe kama hataki condom kwa vizingizio hanifeel sijui zinamuumiza....

Wadada pendeni kutumia condom ama toeni tiGo msisingizie watu mimba!
 
Hakuna mtu hapo.Mshauri rafiki yake aachane na huyo mwanaume haraka sana kabla hayajamkuta makubwa zaidi,asijifanye kipofu wa mapenzi wakati dalili mbaya keshaziona,hapo wa kupewa ukimwi ni yeye na wala sio huyo mwanaume anayejifanya anaogopa ukimwi.
Shemeji yangu ZD huyu FISI anaogopa mimba kuliko UKIMWI kama nimeielewa thread vizuri. Ajabu "Tanzania Bila UKIMWI inawezekana kweli kwa hali hii?"
 
Kaka Masa kumbe unafaa sana kwenye mapambano dhidi ya UKIMWI eeh. Nitawashauri TACAIDS wakuchukue kama Balozi wa UKIMWI. Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…