Sisi lazima tutafute magap kama haya ili kujustify ujinga wetu,,kwenye mikutano kama hii issue si tu kufualia presentations bali kuna networkings through side meetings and so on.Ila rais wetu anaposhindwa kutekeleza wajibu wake kwa sababu sizizo na mashiko basi tunatafuta vitu kama hivi kusupoti ujinga wetuView attachment 1245080
Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano
Afrika ina shida sana yaani unatumia msafara wa mamilion ya walipa kodi kwenda ulaya kulala kwenye hotel za nyota tano na kusinzia kwenye Mkutano.
Hana muda au either anakwapa kufanya majukumu yake au he is too incompetent to participate in such high profile meetingsMagufuli hana muda mchafu wa kwenda huko
Mabeberu lao ni moja kuhakikisha Africa inazidi kuwa maskini
View attachment 1245080
Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano
Ukute usiku mzima walikesha na vibint vya Russia.. Unategemea nini ?Naona walikuwa wanalala tu...........huu ni wizi kabisa wanaendaje kulala kule
Hana muda au either anakwapa kufanya majukumu yake au he is too incompetent to participate in such high profile meetings
I am very sorry kama unadhani watanzania wote wanaishi Tanzania na kama unadhani Tanzania ni kisiwa kinachojitishereza kwa kila kitu,kwa kukusaidia tu ni kwamba Tanzania hategemei mataifa mengine kujazilizia budget yake bali hata chakula bado tunaagiza,kama huishi kwa shemeji naamini unakumbuka what happened baada ya kuzuia sukari toka njeHigh profile meetings are those talking with Tanzanian the rest are bullshit
Kitu cha kwanza kwa kiongozi bora ni kujali Wananchi wako kwanza
Hakuna beberu hata moja mwenye lengo zuri na Africa
Tatizo ni english is not richabo.Hahahaha African leaders. JPM hawezi fanya ujinga huu
Tatizo ni lugha... Hata akienda ataenda kuongea nini zaidi ya kuwa kituko? Pale uganda kama si msaada wa museveni ilikua ni aibu plus!!Magufuli hana muda mchafu wa kwenda huko
Mabeberu lao ni moja kuhakikisha Africa inazidi kuwa maskini