George Weah from Liberia.Huyo nyuma ya museveni ni nani na wawapi?? Tuanzie hapo kwanza.
George Weah from Liberia.Huyo nyuma ya museveni ni nani na wawapi?? Tuanzie hapo kwanza.
Mwakilishi wake vipi, anaruhusiwa kuwa mjinga kulala mkutanoni kwa agizo toka juu? Afadhali kulala mkutanoni kuliko kuzungumza ujinga mbele ya mabeberu.Hahahaha African leaders. JPM hawezi fanya ujinga huu
Huyo nyuma ya museveni ni nani na wawapi?? Tuanzie hapo kwanza.
Na Vodka original juu yake kuondoa baridi, kesho yake usingizi unakuwa mnono.Ukute usiku mzima walikesha na vibint vya Russia.. Unategemea nini ?
Huyu wa sasa hakosi mikutano hii kwa sababu ya kuokoa gharama bali his incompetence, anaokoa gharama zipi kwa mfano nyie mazuzu? Kazi ya mkuu wa nchi ni pamoja na kuwawakilisha watanzania kwenye mikutano mikubwa kama hii na si kukwepa kufanya majukumu yake akisingizia gharamavyama vya upinzani kama wangekuwa wameshika dola na namna wanavyowatukuza mbeberu wasingekosa mkutano hata mmoja.
Nani kamwambia Urusi wanatumia english kwenye mawasiliano yao? Ficha ujinga wako bwashee.Tatizo ni english is not richabo.
Kufumba macho ni kulala? Kuwa serious basi.View attachment 1245080
Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano
Tumekuwa mno watu wa kujishuku, hivi ni kwa lipi hasa tuonewe kijicho na Mabeberu?High profile meetings are those talking with Tanzanian the rest are bullshit
Kitu cha kwanza kwa kiongozi bora ni kujali Wananchi wako kwanza
Hakuna beberu hata moja mwenye lengo zuri na Africa
Haya ndio Rais wangu yanayomfanya asiende huko.View attachment 1245080
Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano
Kwahiyo angelala majaliwa ndio ingekua afadhali?Hahahaha African leaders. JPM hawezi fanya ujinga huu
Asingekwenda yeyote ningewaelewa, lakini kwa vile Majaliwa kaenda hamtudanganyi kijinga hivyo.Hahahaha African leaders. JPM hawezi fanya ujinga huu
Hamna hawajalala, wanavuta hisia zinazochomaView attachment 1245080
Kushoto ni rais Museveni wa Uganda na kulia ni rais wa Afrika ya kusini Ramafosa. Museveni wangetaka akae macho wangemwambia Bob Winne anataka kufanya mkutano wa hadhara au maandamano