Bora shule ama kazi?

Bora shule ama kazi?

Kijana fanya kazi kwa sasa hivi kama unayo..... achana na kwenda kusoma kwa sasa hela yako nenda kasave Bank umesha sema mwenyew hiyo Ajira haina guarantee siku itakapo kuwa imekwisha sasa nenda kasome elimu haina mwisho wala umri.

Kwani Elimu ya Mtanzania haimsaidi MTU hakiwa Hana KAZI ya kuajiriwa inakuwa Elimu yake useless nakama wapo Elimu yake inamsaidia nje ya AJIRA basi ni laabda 2% .

Zimwi likujualo......
Fact

Fursa2017
 
Habari za Jumapili,

Sera ya nchi tunaambiwa "HAPA KAZI TU"

Mimi ni kibarua katika kampuni moja hivi ya simu za mikononi lakini mnajua maana ya kibarua unaweza ukaamka ukaambiwa "your no longer" huna kazi! Hakuna mkataba wa kudumu.

Na pia nina ada kabisa ya ya kulipia chuo college diploma miaka yote 3. Je nipige shule chini nibaki na kazi pamoja na biashara niwekeze katika
kununua mazao niweke ndani maana mwezi wa kwanza na wa pili nipige bao la maana?

Sijawahi kuona sera inayosema shule shule kwanza.


Fursa2017
Karibu mkuu!

Agribusness itakutoa

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom