Changamka
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 149
- 161
- Thread starter
- #41
FactKijana fanya kazi kwa sasa hivi kama unayo..... achana na kwenda kusoma kwa sasa hela yako nenda kasave Bank umesha sema mwenyew hiyo Ajira haina guarantee siku itakapo kuwa imekwisha sasa nenda kasome elimu haina mwisho wala umri.
Kwani Elimu ya Mtanzania haimsaidi MTU hakiwa Hana KAZI ya kuajiriwa inakuwa Elimu yake useless nakama wapo Elimu yake inamsaidia nje ya AJIRA basi ni laabda 2% .
Zimwi likujualo......
Fursa2017