Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

Chinja chinja mnaumia sana amani ikitawala
 

Kuandamana na wajibu wa viongozi kuwawajibisha wabadhirifu ni vitu viwili tofauti.

Bora ya waandamanaji wamefanya sehem yao kuliko ambaye hajachukua hatua kwenye linalopaswa kuchukuliwa hatua.
 
Wewe huna akili ndani ya kivuli cha Chadema
 
We ni sawa tu na hawa wanawake wasioridhika.
 
Mkuu kulalamika bila kuweka ushahidi wa kilichochotwa na mhusika wake ni mawenge tu ya ndoto za alinacha za masalia ya Sukuma Gang!

Kuna mtu aliye wahi kukwapua kiasi kikubwa kwa wakati mmoja shaaaaa kwenye historia ya Tanzania kama Mwendazake! Shilingi trilioni 1.5 kwa mujibu wa CAG!

Nani aliye wahi kuibia watu mchana kweupeee kama Mwendazake, rejea hela za kitambulisho cha machinga! Michango ya Tetemeko la kagera na uporaji wa Bereau de change Arusha!

Ama kweli Sukuma Gang ni wasahaulifu balaa! Halafu unaleta maneno mengi!
 
1.5 Tillion ni uwongo,,
 
viongzoi wa Chada wesema suala la ufisadi kwao siyo muhimu
 
Zile hela ulizokwapua kule Chadema ulizitumia vibaya ulifikiri hazitakwisha? Hela imekata na CCM nao hawakupi tena posho umebaki kubweka bweka kama mbwakoko. Uza makalio sasa pimbi wewe
 
We jamaa maisha yako yote utaishi kwa tabu sana mifumo huijui lkn unaleta harakati za pimbi kutaka iendeshwe unavotaka wewe😁vp zle harakati zako kwa Palestine zimezaaa matunda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…