Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Chinja chinja mnaumia sana amani ikitawalaOk tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.