Bora tusepe zetu Hispania & Italy

Bora tusepe zetu Hispania & Italy

spain chukwenzwe tu stat wa villareal anabaguliwa itakuwa mimi Italy balotelli super star wao anabaguliwa mimi ni nani?
 
Mambo vip wakuu, kwema? Kuna mchongo wa kuzamia Hispania au Italy kusaka maisha (kwa wale wanaopenda kwenda abroad either kusoma, kutafuta kazi..) Hasa Spain ndo uhakika zaidi ..ila changamoto iliyopo ni kwamba pale Spain embassy wanataka atleast mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 30 hivi na mimi nina 25 sasa ..so kama kuna raia Yuko interested mwenye na umri huo anicheki pm nimpe maelekezo nini cha kufanya.

Kama tukifanikiwa hata mwezj ujao yani October tunaeza sepa tu ..hapa bongo jua kali, ajira hakuna mitaji nayo haikui ..wazee wa vitengo wanakaba kinoma ukianzisha ka biz kako hakana ata miezi miwili tiyari washatia timu ..wanataka chao ..

Bora tusepe zetu mbele tukabebe ata box tu fresh..

Nipo siriyaz wakuu wakike na kiume..

Wacha kupotosha watu....we fikiria mtu unatoka hapa Tanzania kwenda hizo nchi tajwa una elimu ya Tanzania au hauna elimu yeyote....unakwenda kufanya kazi gani kule ikiwa huko kuna wazungu wamesoma mpaka chuo kikuu hawana kazi?
 
SOON KUNA WATU WATAPIGWA NA KULIZWA NA HUU UPEPO WA KISULISULI!!!
 
Yaani kama umeshindwa kuwin, kwenye ardhi rafiki...!!
Ndio utaweza kuwin, kwenye ardhi ngeni....?!!

"ACHENI KUDANGANYANA VIJANA"
 
Wacha kupotosha watu....we fikiria mtu unatoka hapa Tanzania kwenda hizo nchi tajwa una elimu ya Tanzania au hauna elimu yeyote....unakwenda kufanya kazi gani kule ikiwa huko kuna wazungu wamesoma mpaka chuo kikuu hawana kazi?
Kazi uku zipo mingi sana endapo utaacha ubishoo ..Sema korona ndo imezingua ..ila job zipo mingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nia ninayo na nikijipanga nikawin nitakujulisha, ila kwa kweli sijisikii kabisa kwenda Yuropa, akili yangu imelalia Tasmania, New Zealand au Australia
Kama bado upo bongo kuna connection la arabuni mkuu. Yemen, Qatar tena World Cup 2022 apo..
 
Amna utapeli wowote ..nmesafiri na jamaa wawili ..tuko Spain apa.. ndgu zangu wana familia na mim sikutaka mweny familia..
Sikusafiri wazee ..hapa niliongopa, ila niliwapa watu connection wakasepa.
 
Wewe ni muongo. You don't have credibility to tell us anything.

Go kiss your ass
Mipango ipo. Sikai kizembe mimi, watu wapo Spain mdada na chali mmoja wanapiga kazi mimi siyo agent ni koneksheni tu.

Fuata mambo yako.
 
Back
Top Bottom