Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Ndege Ina Kondakta.?Au inapita HighwayUnazungumzia usafiri gani? manake kwenye usafiri nnaoupenda kote nakutana na vyoo, kuanzia boat/meli, ndege, treni.
Ndege Ina Kondakta.?Au inapita Highway
Epuka kula kula mayai kuchemsha njiani.Na bora huo mkojo, kuliko kuchafukwa tumbo ni balaa. Mkojo unaweza kukojolea hiyo chupa lakini haja kubwa ni sheeda
Una bahati hukupatwa na tumbo la kuhara!!Nimesafiri safari nyingi sana na nimeshudia visa vya watu kupata wakati mgumu pale wanapobanwa na haja kubwa na ndogo katika safari, Mbaya zaidi mkiwa high way chance ya kupewa ruhusa kwenda kuchimba dawa ni ndogo sana.
Binafsi yamewahi kunikuta...Nilibanwa na haja ndogo basi likiwa kwenye highway, Nilijaribu sana kunegotiate na konda lakini haaikuwezekana maana ilikuwa ni usiku na basi ilibidi liwahi kufika, Nilienda nyuma ambako hakuna watu ili nijaribu kutolea haja kwenye chupa na sikufanikiwa kwa asilimia 100...Ndio ilikuwa siku niliyojifunza kwamba kunywa majia mengi kwenye safari ni sawa na kumtukana mamba kabla safari ya kuvuka mto haijaanza, Thats part of my experience na wewe unaweza kutupatia yako
Epuka kula kula mayai kuchemsha njiani.
Teh teh tehDuh., Hapo tayari umeshabadili diameter Mkuu.,, Itabidi ubebe Rambo sasa sio Chupa tena..!!
Nimesafiri safari nyingi sana na nimeshudia visa vya watu kupata wakati mgumu pale wanapobanwa na haja kubwa na ndogo katika safari, Mbaya zaidi mkiwa high way chance ya kupewa ruhusa kwenda kuchimba dawa ni ndogo sana.
Binafsi yamewahi kunikuta...Nilibanwa na haja ndogo basi likiwa kwenye highway, Nilijaribu sana kunegotiate na konda lakini haaikuwezekana maana ilikuwa ni usiku na basi ilibidi liwahi kufika, Nilienda nyuma ambako hakuna watu ili nijaribu kutolea haja kwenye chupa na sikufanikiwa kwa asilimia 100...Ndio ilikuwa siku niliyojifunza kwamba kunywa majia mengi kwenye safari ni sawa na kumtukana mamba kabla safari ya kuvuka mto haijaanza, Thats part of my experience na wewe unaweza kutupatia yako
ukute tumbo linauma alafu lina unguruma kama simba yuko pangonikubanwa na mkojo sio tabu, Tabu ni tumbo la kuvuruga...Aseeh noma
weee hatari mkuu..na linakwanguakwangua duuhukute tumbo linauma alafu lina unguruma kama simba yuko pangoni