holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
alafu kama umekaa siti moja na mtoto mzur full aibuweee hatari mkuu..na linakwanguakwangua duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alafu kama umekaa siti moja na mtoto mzur full aibuweee hatari mkuu..na linakwanguakwangua duuh
Teh teh teh..inabidi ujikaze tualafu kama umekaa siti moja na mtoto mzur full aibu
Mimi nilibanwa sana na nilipomwendea Konda na kumwomba asimame ili nikojoe akakataa na nilichokifanya kwakuwa mshipa wangu wa aibu ulishakatwa Kitambo na Sister Magreth wa Wodi ya Uzazi Aga Khan Hospital miongo mitatu iliyopita nilichokifanya na kulichomoa tu Libolo langu mubashara na kumkojolea kidogo katika Suruali yake ndipo Dereva nae akashtuka na kusimamisha ghafla Basi Mwanamume nikashuka haraka kukojoa huku Abiria wengine nao wakishuka kwa nguvu na tuliporudi ndani ya Basi wakati likiwa njiani Yule Kondakta akawa anakuja Kwangu taratibu nadhani kulianzisha ndipo nami nikamwoshesha kuwa kuzaliwa tu Dar es Salaam tayari Wewe ni Mjanja ambapo nakumbuka wakati akija usawa wangu nilichomoa Album yangu ambayo ilikuwa ina Picha kadhaa za Kaka yangu ambaye ni Mjeda hivyo nikawa naziangalia hasa zile Picha zake za Mazoezi yao ya hatari huko Kambini na Jamaa alipokaribia pale Kwangu na kuziona tu zile Picha za Kijeda nakumbuka neno moja tu aliloniambia kuwa " Kaka umemaliza Kozi nini? " Nami kwa kutaka kumtisha zaidi nikamwambia nimemaliza lakini sasa naenda Arusha kumalizia Kipengele cha mwisho ili niwe full Commando akanywea / akaufyata na nakumbuka hata tulipofika tu Mombo alininunulia Msosi na Basi lilipofika Arusha alinikodia Tax ikanipeleka nilipokuwa naenda. Mikwara inasaidia sana jamani vinginevyo nisingejiongeza siku zile hakyanani ningepewa nakoz / ngumi za kutosha na yule Kondakta.
Soma kichwa cha habari, hakusema safarini kwenye basi, au wewe unadhani kusafiri mpaka upande bus???Ndege Ina Kondakta.?Au inapita Highway
Samahani kama sikueleweka vizuri, namaanisha hizi safari zenye highway barabarani pamoja na makondakta....Nazungumzia safari za kwenye mabasi.Unazungumzia usafiri gani? manake kwenye usafiri nnaoupenda kote nakutana na vyoo, kuanzia boat/meli, ndege, treni.
HahahaHiyo itakua STANTER JET.. !! au MV STANTER nikimaanisha zote zinapita highway
Kwani Mimi ni Erick Shigongo Mkuu?
Mbona umeruka basi.. au huwa hutumii?Unazungumzia usafiri gani? manake kwenye usafiri nnaoupenda kote nakutana na vyoo, kuanzia boat/meli, ndege, treni.
Usafiri wa bus siupendi, ikitokea nimesafiri basi ni dharura sanaMbona umeruka basi.. au huwa hutumii?
Nilishuhudia Baba mtu mzima alijipupulia tukiwa safarini, abiria wakachachamaa gari ikasimama akashuka , na mbaya zaidi alishuka kituo ambacho sio chake hadi huruma yaaniNimesafiri safari nyingi sana na nimeshudia visa vya watu kupata wakati mgumu pale wanapobanwa na haja kubwa na ndogo katika safari, Mbaya zaidi mkiwa high way chance ya kupewa ruhusa kwenda kuchimba dawa ni ndogo sana.
Binafsi yamewahi kunikuta...Nilibanwa na haja ndogo basi likiwa kwenye highway, Nilijaribu sana kunegotiate na konda lakini haaikuwezekana maana ilikuwa ni usiku na basi ilibidi liwahi kufika, Nilienda nyuma ambako hakuna watu ili nijaribu kutolea haja kwenye chupa na sikufanikiwa kwa asilimia 100...Ndio ilikuwa siku niliyojifunza kwamba kunywa majia mengi kwenye safari ni sawa na kumtukana mamba kabla safari ya kuvuka mto haijaanza, Thats part of my experience na wewe unaweza kutupatia yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] agiza balimi nakuja kukulipiaa walahi tenaaa nakuahidi poppte ulipoooNdege Ina Kondakta.?Au inapita Highway
😀😀😀Yalimkuta mbaba mmoja ivi kwenye boti ilikua ni haja kubwa mbn aliishushia majini
safari ilikua ya ukerewe