Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.