Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Si mpaka awe na aibu? Kama mtu mke na mtoto wake wako bungeni kwa wizi wa kura, aibu aitoe wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mpaka awe na aibu? Kama mtu mke na mtoto wake wako bungeni kwa wizi wa kura, aibu aitoe wapi?
Wachagga ni isolation case nchini, hao watu ni wakabila kama ndgu zao wakenyaUtaratibu wa kuwapata una demand diwani atleast awe mwenyeji wa eneo husika? Kwann asitokee kwenye jamii hiyo hiyo?
Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Wewe kweli ni kilaza... Ata bongo uez enda Mbeya ukagombea ww Mhaya usiejua changamoto za hapo... hata 2015 Magufuli kanda ya ziwa aliiteka Lowassa kanda ya kaskazini alichukua more than 70% hii allegetion unaitoa wap? Kwa akili ndogo kama hizi ni wazi watanzania ni vilaza sana na sio great thinker thus why hatuwez badilika... Take analysis ndio uanze kutapika utopolo wako huu
Uhuru anamsupport Raila kunusuru mali za familia yao walizo pora miaka ya nyuma kwa kupunguza chuki baina ya wajaluo na wakikuyu, ila wa kikuyu na wakelejini wengi hawamsupport Raila Central Kenya Raila kapata 20% tu imagine
Leta hoja na takwimu sio mhemuko mkuu, Tz hamna ukabila in reference to Kenya, kama hujawahi kuishi kenya just shut up Yr big mouth
Unataka kusemà Nora kinda mahera!!Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Kinachofanya watanzania wasigombane sio kwa sababu ya kukosa ukabila, bali uoga uliopandikizwa kwa wananchi kutokana na aina ya siasa zilizoongoza nchi hii kwa miaka mingi. Ukondoo wa watanzania ndio sababu ya kutokutokea machafuko sio zaidi ya hapo.
Kwa hiyo wewe kwa uzezeta wako unatamani watanzania wagombane siyo! Unatamani kuona siku moja mtoto wako amechanwa panga la usoni siyo?
Upo sahihi kabisa, Tabzania hatuna ukabila ndiyo maana tumeongozwa sasa na marais 5 ambapo hakuna hata kabila moja limejirudia hapo!
Cheki ujinga ulioandika hapo.Police wa ccm wanapiga wana siasa na makada wa chama pizani ila sio raia wakawaida kama unataka kuepuka viboko vya police usiwe mkereketwa wa vyama vya siasa utapona, piga kura yako rudi nyumbani.
Kwa kauli hii wewe sio mkabila? Swain weweWachagga ni isolation case nchini, hao watu ni wakabila kama ndgu zao wakenya
Umenena vema kabisaaNi me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
More than tribalismVipi kuhusu mapigo ambayo huwa tunapigwa na polisi au hilo si kitu?
Huu ujinga mnaondelea kupandikiza kwa watanzania ipo siku utaligharimu taifa hili kwa uchu wa kutetea ujinga na uovu wa chama.Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Huu ujinga mnaondelea kupandikiza kwa watanzania ipo siku utaligharimu taifa hili kwa uchu wa kutetea ujinga na uovu wa chama.
Mnajiita wachambuzi huku mkijionesha mlivyo watupu, utafifiti ukishawekwa wazi kama ule wa TWAWEZA mnaanza kudai passport za watu pengine kuwapoteza kabisa.
Ona ujinga wako ulipo,
1. Vyombo vya habari zaidi ya 6 vya Kenya kikiwemo chombo cha taifa KBC vina matokeo yenye mwelekeo unaofanana. Huo ubaguzi wa kikabila umeuchunguza wapi?
2. Citizen tv ambayo mmiliki wake ni mkikuyu Ndiyo pekee inayotoa matokeo yanayoelekea kumbeba Odinga ambaye si mkikuyu. Je hapa ubaguzi wa kikabila umeuchunguza wapi?
3. Ruto ameweza kushinda vizuri nyumbani kwao na Odinga. Je hapa napo una uchunguzi upi?
4. Raila ameshinda sehemu za pembezoni mwa nchi yaani mashariki na magharibi vijijini ambako uelewa wao wa elimu si mkubwa Sana kama ilivyo hapa kwetu kwamba mnaowaita wapinzani hupata kura nyingi mjini ambako walau kuna waliofuta ujinga wengi kama TWAWEZA walivyotafiti.
5. Mtu kupigiwa kura na watu wa nyumbani kwao ndilo linaloyegemewa kutokea kwa yule aliyeishi vizuri na wa kwao wala huu siyo ubaguzi kama unavyotaka kuaminisha watu. Yaani kwenu wakukatae halafu utake kura kusiko kwenu ni dalili ya kutokufaa.
Mwisho, embu acha kupandikiza propaganda za kizamani zinazorudisha nyuma maendeleo ya kidemokrasia na uhuru wa kweli.
Kakojoe ulaleNi me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.