Kwa uchaguzi huu ukabila n motive ndogo sana inayowadrive Wakenya ..Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Police wa ccm wanapiga wana siasa na makada wa chama pizani ila sio raia wakawaida kama unataka kuepuka viboko vya police usiwe mkereketwa wa vyama vya siasa utapona, piga kura yako rudi nyumbani.Vipi kuhusu mapigo ambayo huwa tunapigwa na polisi au hilo si kitu?
Uhuru anamsupport Raila kunusuru mali za familia yao walizo pora miaka ya nyuma kwa kupunguza chuki baina ya wajaluo na wakikuyu, ila wa kikuyu na wakelejini wengi hawamsupport Raila Central Kenya Raila kapata 20% tu imagineKwa uchaguzi huu ukabila n motive ndogo sana inayowadrive Wakenya ..
Uhuru anamsupport Raila, ila Ruto kashinda kwa kishindo kwao na Uhuru.
BONGO HAKUNA DEMOCRACY
Leta hoja na takwimu sio mhemuko mkuu, Tz hamna ukabila in reference to Kenya, kama hujawahi kuishi kenya just shut up Yr big mouthWewe kweli ni kilaza... Ata bongo uez enda Mbeya ukagombea ww Mhaya usiejua changamoto za hapo... hata 2015 Magufuli kanda ya ziwa aliiteka Lowassa kanda ya kaskazini alichukua more than 70% hii allegetion unaitoa wap? Kwa akili ndogo kama hizi ni wazi watanzania ni vilaza sana na sio great thinker thus why hatuwez badilika... Take analysis ndio uanze kutapika utopolo wako huu
Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Police wa ccm wanapiga wana siasa na makada wa chama pizani ila sio raia wakawaida kama unataka kuepuka viboko vya police usiwe mkereketwa wa vyama vya siasa utapona, piga kura yako rudi nyumbani.
Ila Kenya imetuvua nguo wadanganyika. Vasco da Gamma anasikilizia aibu
Siasa za ujamaa za kutisha wana nchi na kuweka state suprmacy over raia, watanzania wegi wanazaliwa na uoga wa state, hata haki yao wanabembeleza wapewe, Nyerere ana mazuri na mabaya kama binaadamu wengineKinachofanya watanzania wasigombane sio kwa sababu ya kukosa ukabila, bali uoga uliopandikizwa kwa wananchi kutokana na aina ya siasa zilizoongoza nchi hii kwa miaka mingi. Ukondoo wa watanzania ndio sababu ya kutokutokea machafuko sio zaidi ya hapo.
Hizi vilaza za namna hii ndio ama zinakula keki ya taifa au ni low IQ to the maximum... Take analysis of Tanzania general election 2015... Kuna sehemu ipi ambayo mgombea urais wa kwao hakupata uungwaji mkono kwao.? Wewe ni mtu asie na analysis ya mamboNi me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Siasa za ujamaa za kutisha wana nchi na kuweka state suprmacy over raia, watanzania wegi wanazaliwa na uoga wa state, hata haki yao wanabembeleza wapewe, Nyerere ana mazuri na mabaya kama binaadamu wengine
Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja ya mgombea wake, kila media House yenye TV inatangaza kulingana na kabila la mliki wa hiyo TV au Radio, paka sasa hivi kila mgombea anaongoza kulingana na Tv ngani unaangalia, lakini hili ni hatari sana kwa jamii zetu zenye hisia kali za ukabila. Paka utamani uchaguzi wa CCM japo nawenyewe paka uwe roho ngumu kukubali ila hauna hatari ya kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Utaratibu wa kuwapata una demand diwani atleast awe mwenyeji wa eneo husika? Kwann asitokee kwenye jamii hiyo hiyo?Mbona wabunge na madiwani wa Moshi ni Wachagga watupu