Kenya 2022 Bora uchaguzi wa CCM kuliko wa kikabila wa Kenya

Kenya 2022 General Election
Kumbe huwa ni Uchaguzi wa CCM. Pambafu kabisa
 
Hadi nimeogopa.
 
Tanzania kuna kuwaga na uchaguzi? Hizi stories zenu tumezichoka, kuna nchi ya Africa isiyokuwa na ukabira?
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Ni bora ungeuliza mwanzo kabla kuharisha huu utumbo wako hapa. Mimi ni mkenya na ningependa kukujuza sababu ya stesheni tofauti kuonyesha matokeo yasiyo wiana. Tume ya uchaguzi imeweka wazi tovuti yake kwa kila mwenye anataka kufuatilia matokeo ya vituo vya kupiga kura kote nchini. Matokeo yanayochapishwa kwa tovuti ya IEBC ni yale tuu yameidhinishwa na mawakala wa vyama vyote kutoka vituo vya kupigia kura. Kwa faida ya mwananchi wa kawaida, mashirika ya televisheni yamechukua jukumu la kupeperusha matokeo moja kwa moja vile yalivyochapishwa . Utofauti ni pale kila shirika linachukua matokeo ya sehemu tofauti tofauti. Mfano: Citizen TV wanaweza Anza kupeperusha wakianzia matokeo ya pwani ama sehemu yeyote ile, halafu wengine kama NTV, KTN n.k pia wakaanzia kujumulisha toka sehemu tofauti. Bila shaka matokeo yatakuwa tofauti ikizingatiwa kuwa kila sehemu inasimamia ngome ya mmoja wa wagombeaji.
 
Ukabila hata hapa kwetu upo.
Sema sisi ni wajinga zaidi ya Kenya.
Kenya wako serious na masuala mhimu ya taifa lao.
They have a better democracy than ours.
 
Kenya is the most civilized country in East Africa the others are shit hole countries.
 
Wakati Magufuli anapiga kampeni kwa kisukuma Mwanza, Geita, Shinyanga na Simiyu ulikuwa umelazwa?
 
Masikini Afrika hawana uwezo wa kumuweka mtawala wamtakae. Bali mtawala uwekwa na mifumo ya wenye nchi.
 
  • Uwe unasoma mara zaidi ya Tati; tafakari kisha uwasilishe kwa wenye akili.
  • Kutumia username kusikufanye ujiondoe ufahamu
 
Uhuru anamsupport Raila kunusuru mali za familia yao walizo pora miaka ya nyuma kwa kupunguza chuki baina ya wajaluo na wakikuyu, ila wa kikuyu na wakelejini wengi hawamsupport Raila Central Kenya Raila kapata 20% tu imagine
Acha miuongo.Umeandika utadhani Uhuru ndiye amekuwa Rais wa kwanza Kenya kuondoka madarakani.Miaka yote ambayo Uhuru hakuwa Rais ni nani aliwatunzia mali zao?
 
Acha miuongo.Umeandika utadhani Uhuru ndiye amekuwa Rais wa kwanza Kenya kuondoka madarakani.Miaka yote ambayo Uhuru hakuwa Rais ni nani aliwatunzia mali zao?
Jitahidi kujua historia za siasa za Kenya ujue jinsi gani kuna ushindani kati ya wajaluo na wa kikuyu pamaja na Wakalejini, ujue nani kaporwa ardhi na kwanini paaka sasa kuna ushundani mkali wa kisiasa wa sio wakawaida licha ya kua umasikini wa watu wakawaida wa kwnya hauna utafouti na wa Tz au Uganda
 
Ungejibu swali ingekusaidia kutokuendelea kutunga uongo.
 
Mbona Wasukuma walipomchagua Magufuli 2015 hamkusema ni uakabiala.

Waacheni Kenya na politics zao. Wao wanaendelea kupiga hatua kutoka huko sisi tunaelekea huko. Siasa hizo hizo mnazowasema Kenya ndizo CCM wanazifanya kila siku ....Kukiita Cuf ni chama cha Waislamu na Chadema cha Wachaga kuna tofauti gani na siasa za Kenya.
 
Ungejibu swali ingekusaidia kutokuendelea kutunga uongo.
Naona mkuu hujanielewa tabaka la maraisi wa Kenya wote ni kambi moja ya kikuyu na makelejini tu, wakati wajaluo ni kabila kubwa na limechagia kwa kiasi kikubwa kwenye siasa za Ky ku- balance equilibrium lazma Raisi wa kijaluo apatikane kupunguza chuki na visasi. Jomo kenyatta alikua m kikuyu Arap moi alikua mkalejini Kibaki alikua mkikuyu Uhuru kenyatta mkikuyu tena Ruto ambaye ni mkalejini itakua sio poa, ndiyo maana Uhuru kinyatta katumia Busara kusupporta Raila mjaluo.........
 
Kwa nyinyi kujigeuza Askari eti wa kulinda kura wakati hata mgambo hamjapitia
Kura za Tanzania zinatakiwa kulindwa kwa sababu ya wizi uliokubuhu unaofanywa na ccm.

Kenya hawana haja ya chama chochote kuhangaikia ulinzi kwa sababu wamestaarabika na hawana huo upumbavu wa kuiba kura vituoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…