Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Leo unasema IPO waz wakati uliniumbua public kuwa umechoka kufatwafatwa nami Pm?Mbona ipo wazi beesmom
We dada mi nmekupenda aiseeWatakaoelewa ni wachache sana,lakini pia unaweza mpata mnaependana lakini watu hubadilika,maisha hubadilisha....people changes
Kwa kuchangia mada au unanipenda unataka tufunge ndoa kesho?We dada mi nmekupenda aisee
Wanawakomoa ma-ex hio ndio fashion ya siku hizi mkuu, wanataka ma-ex waumie wanaposikia anaolewa aliona cha nini wenzie wamakiloweka na majihii ni kwa sababu ya dhiki na maisha magumu kwahiyo anaona bora ajikabidhi kwa mwanaume
Sasa wafanyaje...unataka waendelee na selfie wakati wanamsubiria huyo watakaye mpenda?Ndoa nyingi siku hizi zimekuwa zikivunjika mapema sana yaani watu wanaowana baada ya miaka miwili tu ndoa inavunjika na muda mwingine unakuta harusi pamoja na maandalizi mengine yalikuwa ni ya gharama kubwa saana. Tatizo kubwa nililokuja kuliona asilimia kubwa ya waolewaji wengi wanaolewa na wanaume wasiopenda yaani unakuta mtu anaulazimisha moyo kuishi na mtu na hii ni kwa sababu ya dhiki na maisha magumu kwahiyo anaona bora ajikabidhi kwa mwanaume au wakati mwingine unakuta mwanamke anamsubili anaempenda lakini hatokei...na hapa ndio utakuta anakubali kuishi na mtu asiempenda ili tu na yeye aonekane yuko ndani ya ndoa au ana mume, mahusiano ya aina hii kudumu ni ngumu sana wakuu.
Kukupenda kwa kuchangia mada na kukupenda kwa kufunga ndoa aisee nmkupenda kiukweLi nataka niwe na ww jmn nakupenda Beesmom β€οΈKwa kuchangia mada au unanipenda unataka tufunge ndoa kesho?
Selfie selfie......ungetag tuπSasa wafanyaje...unataka waendelee na selfie wakati wanamsubiria huyo watakaye mpenda?
π€£π€£π€£π€£ Mie nataka nikuone unavyopiga selfie mremboSelfie selfie......ungetag tuπ
β€οΈSelfie selfie......ungetag tuπ
Ndio ndioooo shemelaaaa.. Nipe mrejesho kwanzaa mambo yanaendaje !! Mtoto mkareee sana yule katuliaa plus utaenjoy madikodikooMie nina zombie wangu namsubiria tuoane kwenye our late 40s sina papara..
Popote ulipo Sophy one love.
Antonnia shahidi.