Bora uchelewe kuoa au kuolewa ili ukutane na yule mtakaependana kutoka moyoni

Naona jamii zimevurugika tu.

Hao bibi na babu zetu waliooana mapema na wakadumu kwenye ndoa zao walifanyaje?
Sababu bibi zetu walikubali kuwa makondoo kitu ambayo wanawake wa sasa hawako tayari
 
Hao wanawake wa “sasa” wako katika utumwa mbaya kabisa kuliko hata hao bibi zetu. Bibi zetu walikuwa katika asili hivyo walikuwa katika kheri kabisa.

Naelewa ninachokisema sababu hata mimi nimekulia katika “usasa” (ukizingatia pia mimi ni katika Generation Z niliyekulia katika karne ya 21) na nimeshuhudia madhara na tabu ya kuachana na asili.
 
Mkuu una uhakika kuwa bibi zetu walifurahia hayo maisha ya "asili"
 
Back
Top Bottom